Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 43,997
- 110,398
Nimejifunza kitu kwako mkuu, Ingawa umaliziaji wako umenichekesha sana aiseeee....Kiswahili sanifu ni AMIRI JESHI usiweke tena neno MKUU kwasababu neno AMRI ni neno la kiaraabu likimaanisha neno MKUU, kwa hiyo ukisema AMIRI JESHO MKUU ni sawa na kusema BARABARA YA MOROGORO ROAD
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]