IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Endeleeni pia kuipanda hii Mbegu inayoitwa "imani flani" yatakayojiri zaidi tuwe tayari pia kuyapokea. Uzuri natambua Record bado mnayo kwa yaliyotokea Geita kuhusu kuchinja.

Umetoa mfano mwenyewe wa kuhusisha imani na mauaji kama ilivyokuwa huko Geita ulikotaja.

Kwa muda mrefu mauaji ya imani za kishirikina yamesumbua sana serikali na bado yanaendelea kuisumbua .Kwa hiyo kukaa na kuamini kuwa mauaji yanayoendelea sio ya imani kama za kishirikina ni kujidanganya.

Huenda hao watu wenye imani za kishirikina wameamua kutafuta viungo vya wenyeviti wa serikali za mitaa baada ya kudhibitiwa na serikali kwenye mauaji ya kuchuna ngozi,kuua albino n.k
Kwa hiyo pia inawezekana wale washirikina waliokua wanaua albino huenda ndio hao hao wamehamia Kibiti na Rufiji kwa imani zile zile za kutoa damu za watu.
 
Kingine hii issue ya Rufiji binafsi nimekua nakwepa sana kuiongelea, lakini nimekua nikiifuatilia kwa namna yangu na sababu zangu. Suala hili ni la kimkakati sana na lipo juu ya uwezo wa jeshi la Polisi.

Kinachotokea pale rufiji hivi Sasa ni zoezi la kuchora mpaka na bahati mbaya sana mpaka huo unachorwa upenuni mwa Dar es Salaam. Just 172 km from dar es salaam.

Kuna watu wanaliangalia suala hili kwa hisia za udini, hapana suala hili si la udini, ingawa dini linaweza ikaonekana sababu tayari inaonekana kwenye plan kuna affiliation na makundi hayo yajifichayo nyuma ya dini na next approach ni kuanza kutumia mbinu zao kwa maelekezo yao.

Kwa kudokeza tu ni kwamba, kusini kuna rasilimali za kutosha.
Halafu kale kamsemo ka gesi haitoki msikasahau.

What gonna be next is everybody's guess.
 
Kingine hii issue ya Rufiji binafsi nimekua nakwepa sana kuiongelea, lakini nimekua nikiifuatilia kwa namna yangu na sababu zangu. Suala hili ni la kimkakati sana na lipo juu ya uwezo wa jeshi la Polisi. Kinachotokea pale rufiji hivi Sasa ni zoezi la kuchora mpaka na bahati mbaya sana mpaka huo unachorwa upenuni mwa Dar es Salaam. Just 172 km from dar es salaam. Kuna watu wanaliangalia suala hili kwa hisia za udini, hapana suala hili si la udini, ingawa dini linaweza ikaonekana sababu tayari inaonekana kwenye plan kuna affiliation na makundi hayo yajifichayo nyuma ya dini na next approach ni kuanza kutumia mbinu zao kwa maelekezo yao. Kwa kudokeza tu ni kwamba, kusini kuna rasilimali za kutosha.
Halafu kale kamsemo ka gesi haitoki msikasahau.
What gonna be next is everybody's guess.
Kweli waziri Mali asili
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza

ntarudi
Mchambuzi nadhani unajua jambo hebu weka walau namba za sim utatusaidia kidogo hata usiogope kama una nia ya kusaidia
 
Yupi ni yupi? Ukisoma katiko wako katika namba 6 na 7, naona kama unakinzana mwenyewe.

Je, aliyeamrisha mauaji mpaka sasa ni yupi? Huyo mtu mzima au huyo wa mid thirties?
Mkuu hii iko sawa kabisa rudia hata Mara tatu kuisoma utaielewa tu inaonekana ni mgeni katika organised oparations
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza

ntarudi
Hivi hatuwezi kudeploy drones huko kwa ajili ya kufanya surveillance maeneo husika at least kwa siku /wiki kadhaa halafu tuanze kufanya analysis za watu na shughuli zao pale? Au jeshi la polisi halina uwezo huo?
 
Polisi wetu elimu ndogo ya maswala ya kiusalama inawatesa hawajui kazi yao ni nn wanapuyaga tu, Mf IGP kapawa cheo bila hata kupitia mafunzo yoyote kspewa tu Kama mswaki hata jeshini kupewa cheo mpk uende angalau short course.
polisi inabidi ifanye kazi kama polisi sio ifanye kazi kama taasisi ya dini kushilikisha wananchi kwenye mipango yao ili isaidie nn?
Pandikizeni watu kibiti mpate taarifa sio kwenda kuulingishia sare za polisi huko na kupigiwa makofi.
 
Hii maneno isipodhibitiwa mapema itakuja kuwa kama Al Shabab,Boko Haram,nk.Vikundi vya kigaidi vinaanza taratibu,hiki kinachoendelea huko Ikwiriri,Mkuranga,Rufiji ni kitu hatari sana kwa nchi.Kinaweza kusambaa nchi nzima.Huu ni ugaidi unaanza,kama alivyoandika mleta hoja hawa lazima wana uongozi.
 
Askari wangekua wanatenda haki na kuachana na siasa mbona jambo hili ni ndogo sana; lakini unapotaka kuwapa Polisi ushirikiano huku unafikiria juzi laki 4 ilikutoka kwa kesi ya kumbambikiwa unabaki kusema bora yaende. Jamani wapeni Polisi wetu elimu ili wategemee mishahara zao zinawatosha.

Huku mitaani Polisi wanaumiza sana RAIA ; mbona JWTZ tunaishi nao vizuri
 
kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Bampani Umenena vyema mkuu
 
Kingine kama polisi wanahisi kusema matukio haya kuwa ya kigaidi tutawapa kichwa kitu ambacho ni sahihi pia basi wao wenyewe kama polisi wailebo hilieneo kama la kigaidi coz sehem yenye watu wa dini moja wanaohisi radio I so zao haziwasaidii ni rahisi watu wabaya kupitia itikadi Kali kuhamasisha vijana .....na hawa watu huwa wanauadhili wa pesa na kiutaaalam.....so mkilichukulia kuwa la kigaidi itawasaidia sana vinginevyo hao jamaa pia wanaintelijensia inayotokea pengine usikute hata ndani ya jeshi......so tukiamua kulichukulia hivyo ni rahisi hata kuomba wataalam wa mambo hayo hata ikibidi kubadilishana uzoef na hao Interpol..... All the besy
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza

ntarudi
UDINI? unamaanisha dini gani hapa ? hapo kwenye umri ulio taja naanza kupata picha kuwa wewe huenda ukawa na ukaribu na wahalifu hao na pia unaweza kulisaidia GESHI LETU ASEE!!
kuna wazee wallimuita kamanda siro je amekutana nao? wamemueleza tatizo ni nini haswa?
#Kuhusu mauaji Kibiti, polisi mulikeni Kilungule Mbagala mwisho
 
Yaan ii nchi navoifahamu kitelegencia na uhakika wanajua awa watu ni kina nani mpaka Maisha yao,sa sijajua kwa nn wanakaa kimya,..
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza

ntarudi
#Kuhusu mauaji Kibiti, polisi mulikeni Kilungule Mbagala mwisho
 
Yaani ukiwa mgambo,kiongozi wa chama na serikali za vijiji na mitaa huko sio sehem nzuri hata kidogo kuishi.
Hofu yangu ni kua wageni wa kiserikali wakifika kwenye hivyo vijiji hua wanaonana na hao uliowataja yaani wenyeviti, mabalozi na mgambo.

Kwa mazingira ya vijijini ntu mgeni ukifika lazima wanakijiji watakujua tu kua huyu ni mgeni na kati ya hao watakao kujua ,hawa wabaya ni miongoni mwao. Mbaya zaidi huyo mgeni akifika moja kwa moja kwa kiongozi wa kijiji au balozi au mgambo basi jamaa(wauaji) kwakua na wao pengine wapo hapo mtaani/kijijini watajua na kuanza kutilia hofu mwisho wa siku unasikia mgambo au mwenyekiti au balozi kauawa.

Hii pia inaenda sambamba na raia wa kawaida akipokea mgeni. Kwa tulioishi vijijini kwa muda mrefu tutajua tu kua huyu mgeni ni ndugu yake kutoka kwa mtoto wa fulani au ni fulani amekuja. Sasa hapa ukiwa ni mgeni hata wazawa wa hapo kijijini hawakufahamu jamaa(wauaji) lazima watakutilia hofu mwisho wa siku utasikia yule aliyekupokea(mwenyeji wako) ameuawa kwa kupigwa risasi.

Naamini vyombo vyetu vya usalama kama hili munalifahamu basi badilisheni mbinu ya kuingia hayo maeneo na kukutana na wenyeji. Na kama hamulifahamu basi na hili lizingatieni kwani linaweza saidia katika kuleta amani huko kwa ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom