Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Dah. Kukataliwa kubaya. Sina jinsi, haya kwaheri.
Aseee....hubipiwi umeshapiga duuh!
Dah. Kukataliwa kubaya. Sina jinsi, haya kwaheri.
Yupo hospitali gani...hebu come zis way hii haiwezi kukubalika
Mkuu mbona unachukia/ kuogopa ndoa sana..shida nini..!?FUTURE YA NINI WAKATI PRESENT YENYEWE HUNA.??? SOME OF US LIKE TO LIVE NOT TO SURVIVE AND WE LIVE NOW NOT TOMORROW!
Afu msitake kutuzuga MARRIAGE IS ALL HYPE, BRANDING AND MARKETING! Ila there is nothing so special about anything.
Maisha yanabadilika anaekufaa leo kesho taka taka tu! Na moyo wa mtu kiza kinene! USIESEMEE MOYO WA MWENZI WAKO!
After all it makes sense kuwa mad na mtu mliejicommit nae ila mchepuko hauna deni na wewe!
REEDOM OF SPEECH ITS A FREE COUNTRY!
Aseee....hubipiwi umeshapiga duuh!
Aiseee hii thread imechakachuliwa sana....
Awe kwenye ndoa au laa..haimkatazi kuongea ukweli!...
Kutokana na imani yangu Mungu aliumba dunia kwa maneno(kutoa kauli) na akasema iwe bahari na ikawa...hivyo hivyo ukisema mchepuko kwako lazima utakwenda tuu nje yandoa maana ulimi huumba.
Eti kisa tress, mbona kazi za maofisini hamuachi na ndiko kuna stress balaa?!...
Mimi ninamwaka wa tatu ktk ndoa, niliweka nadhiri siku niliyofunga ndoa nikamwambia Mungu huyu ndo mke uliyenipatia wengine wote niwaone kama mama zangu...full stop sijawahi tongoza na wala sifikilii hilo
Vishawishi vipo kama binadamu pia stress zipo tena kuna mwaka nilinuniwa miezi mitatu sijapewa papuchi lakini daima nakumbuka agano langu nililoweka kanisani....
Hapo inaonyesha ulivyoishiwa hoja. Mungu katoka wapi katika uzinzi?Kwa iyo faraja anaipata kwa mchepuko!!Hujui kuwa faraja ya kweli yatoka kwa Mungu pekee?
Wameichakachua wapenda vidumu na vibustani
Hapo inaonyesha ulivyoishiwa hoja. Mungu katoka wapi katika uzinzi?
Aiseee....kwa nini uongee hivyo?
Posts zake ni kujielezea dissapointments zake
Huyo mwenzenu Sura hana na wala hana mvutosikujua kama inakingika kwenye chupa kwani inatoka kama haja ndogo ama?inatoka kwa matone sasa mpaka kichupa kifike robo itakuwa kazi kwelikweli ..
Naam naamini kuwa michepuko yenye tija inaomarisha ndoa kwa ajili ya ustawi wa viumbe tuliowaleta kwa raha zetuNa we kwa akili zako unadhani faraja ya kweli Inapatikana kwa mchepuko!! Anyway we ni sawa na wale kina nanihii sio kosa lako
uwe unanistua stua...nikichoka nachukua maamuzi magumu
Siogopi ndoa except I CALL A SPADE A SPADE sifanyi dressing of facts!Forbidden Passion...
Posts zake ni kujielezea dissapointments zake