Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

Joined
Jul 1, 2025
Posts
26
Reaction score
41
Wakuu habari za muda huu?

Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia.
Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia.

Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali mbali ambao wanalipia), sasa mtu anatokea mtu sijui kala maharage ya wapi anazima network kisa Humphrey Polepole. Na hii si mara ya kwanza. Si mblock hiyo URL specific. Kwanini mnablock YouTube nzima? Ina maana hii nchi mambo yatakuwa yanasimama kila Polepole akiongea?

Mliblock X(zamani Twitter) hivi hivi, tukakaa kimya maisha yakaendelea. Na msivyo na haya wala aibu, na nyie wenyewe mnapost huko? Sasa mnampostia nani wakati mmeblock? Mnapost ili wananchi wa nchi gani waone?

Jipangeni, censorship haiwezi kuwa way of life. Badilikeni na mjiheshimu, hasa nyinyi TCRA. Tafuteni njia sahihi ya kudili na Polepole. Mtu mmoja hawezi kusimamisha nchi nzima kwa sababu ya incompetence yenu. Tunalipa kodi TRA FFS. 😡

Screenshot_20250806-200822_1.jpg
 
Unajua hata mimi jana nilivyokuwa ofisini nkajikuta nawachukia tu TCRA nkajiuliza hivi watanzania hawa watu wanatuchukuliaje?! Hiyo ni baada ya kufungua twitter nikakuta haifunguki mpaka VPN na nikakumbuka moja kati ya utetezi wao eti watu wanapost video za ngono twitter!

Seriously,TCRA mmeshindwa kuongea na uongozi wa twitter mzitie block account zote zinazopost nudity?! Kama walivyofanya Ulaya!? mkaacha tuwe na access na account nyingine!?,Imagine hapo hiyo screenshot iliyopostiwa kwenye hii post ni tweet ya mkuu wa nchi katoa taarifa lakini mimi nimeikosa kwasababh mmefungia twitter msituambie tutumie virtual networks just open the servers bila masharti yoyote
 
Unajua hata mimi jana nilivyokuwa ofisini nkajikuta nawachukia tu TCRA nkajiuliza hivi watanzania hawa watu wanatuchukuliaje?! Hiyo ni baada ya kufungua twitter nikakuta haifunguki mpaka VPN na nikakumbuka moja kati ya utetezi wao eti watu wanapost video za ngono twitter!

Seriously,TCRA mmeshindwa kuongea na uongozi wa twitter mzitie block account zote zinazopost nudity?! Kama walivyofanya Ulaya mkaacha tuwena access na account nyingine!?,Imagine hapo hiyo screenshot iliyopostiwa kwenye hii post ni tweeg ya mkuu wa nchi katoa taarifa lakini mimi nimeikosa kwasababh mmefungia twitter msituambie tutumie virtual networks just open the servers bila masharti yoyote
Hawa watu ni shida sana. Shida kabisa. Sasa unajiuliza rais anampostia nani huko wakati wananchi wako blocked? Kutumia vpn haitakiwi kuwa a way of life. Sababu za kufungia mitandao wanazotoaga huwa ni upuuzi mtupu. Sasa kama leo mimi wamenikosesha darasa, wamenipotezea muda na inabidi nilirudie hili darasa.
 
Unajua hata mimi jana nilivyokuwa ofisini nkajikuta nawachukia tu TCRA nkajiuliza hivi watanzania hawa watu wanatuchukuliaje?! Hiyo ni baada ya kufungua twitter nikakuta haifunguki mpaka VPN na nikakumbuka moja kati ya utetezi wao eti watu wanapost video za ngono twitter!

Seriously,TCRA mmeshindwa kuongea na uongozi wa twitter mzitie block account zote zinazopost nudity?! Kama walivyofanya Ulaya mkaacha tuwena access na account nyingine!?,Imagine hapo hiyo screenshot iliyopostiwa kwenye hii post ni tweeg ya mkuu wa nchi katoa taarifa lakini mimi nimeikosa kwasababh mmefungia twitter msituambie tutumie virtual networks just open the servers bila masharti yoyote
Ulaya walichoweza itoshe kuonyesha issue ni zaidi ya nudity
 
Wakuu habari za muda huu?

Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia.
Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia.

Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali mbali ambao wanalipia), sasa mtu anatokea mtu sijui kala maharage ya wapi anazima network kisa Humphrey Polepole. Na hii si mara ya kwanza. Si mblock hiyo URL specific. Kwanini mnablock YouTube nzima? Ina maana hii nchi mambo yatakuwa yanasimama kila Polepole akiongea?

Mliblock X(zamani Twitter) hivi hivi, tukakaa kimya maisha yakaendelea. Na msivyo na haya wala aibu, na nyie wenyewe mnapost huko? Sasa mnampostia nani wakati mmeblock? Mnapost ili wananchi wa nchi gani waone?

Jipangeni, censorship haiwezi kuwa way of life. Badilikeni na mjiheshimu, hasa nyinyi TCRA. Tafuteni njia sahihi ya kudili na Polepole. Mtu mmoja hawezi kusimamisha nchi nzima kwa sababu ya incompetence yenu. Tunalipa kodi TRA FFS. 😡

View attachment 3434248
Kama umekaa unasubiri TCRA wakuheshimu umepotea sana wahuni wameishika nchi
 
Kaka achana NAO time will tell SASA HIVI Wala hata usizungumze waache watapasuana WAO kwa WAO

Kwishaaaaaa
 
Unajua hata mimi jana nilivyokuwa ofisini nkajikuta nawachukia tu TCRA nkajiuliza hivi watanzania hawa watu wanatuchukuliaje?! Hiyo ni baada ya kufungua twitter nikakuta haifunguki mpaka VPN na nikakumbuka moja kati ya utetezi wao eti watu wanapost video za ngono twitter!

Seriously,TCRA mmeshindwa kuongea na uongozi wa twitter mzitie block account zote zinazopost nudity?! Kama walivyofanya Ulaya mkaacha tuwena access na account nyingine!?,Imagine hapo hiyo screenshot iliyopostiwa kwenye hii post ni tweeg ya mkuu wa nchi katoa taarifa lakini mimi nimeikosa kwasababh mmefungia twitter msituambie tutumie virtual networks just open the servers bila masharti yoyote
VPN saa hivi ni kosa kisheria mzee... Huyo aliepost pole huko X kavunja sheria ambayo serikali yake mwenyewe imeiweka, zero brain
 
Back
Top Bottom