Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

Mkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess
MARAHABA MWANANGU.HUYO NDO MESSI
 
Wewe ndo unajitoa ufahamu,kwamba Ronaldo awe na uwezo kumzidi Messi,kila mtu anakucheka. Mimi Messi siyo wangu wala Ronaldo simchukii,najua ni moja ya wachezji mahiri duniani,ila kamwe hawez kufika uwezo wa Messi! Kuna wachezaji walikua ni Wazuri sana kama Gaucho Bekham nk kwa vigezo tofauti tofauti lakini vigezo jumla unakuta mmoja yuko juuu ziadi bila kujali kachukua taji ama la. Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo!
Wewe unanicheka kwa sababu hujui bali umekumbwa na mahaba na Messi. And that is why the way you are thinking that is not other think or them Ronaldo and Messi take each others.

The Messi–Ronaldo rivalry is a supposed association football rivalry between Argentine forward Lionel Messi and Portuguese forward Cristiano Ronaldo. Having won a combined nine FIFA Ballon d'Or awards, both Messi and Ronaldo are widely regarded as the two best players of their generation, as well as being among the best of all time in the sport. Both players have scored in two UEFA Champions League finals, have regularly broken the 50 goal barrier in a single season, and have scored over 500 goals each in their careers for club and country.

Sports journalists and pundits regularly argue the individual merits of both players in an attempt to establish who they believe is the best player in modern football. It has been compared to past global
sports rivalries such as the Muhammad AliJoe Frazier rivalry in boxing, the Björn Borg–John McEnroe rivalry in tennis, and the Ayrton SennaAlain Prost rivalry in Formula One motor racing.

In a 2012 interview, Ronaldo commented on the rivalry, saying "I think we push each other sometimes in the competition, this is why the competition is so high",while Ronaldo's manager during his time at
Manchester United, Alex Ferguson, opined that "I don't think the rivalry against each other bothers them. I think they have their own personal pride in terms of wanting to be the best" Messi himself denied any rivalry, saying that it was "only the media, the press, who wants us to be at loggerheads but I've never fought with Cristiano" In response to the claims that he and Messi do not get on well on a personal level, Ronaldo commented; "We don't have a relationship outside the world of football, just as we don't with a lot of other players", before adding that in years to come he hopes they can laugh about it together, stating; "We have to look on this rivalry with a positive spirit, because it's a good thing."
 
Mkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess
Marahabaaaaaaaa mimi ndio messi msinifananishe na vitu vya kipumbavu
 
Mkuu cku zote statistics huwa hazinisumbui... Kinachonisumbua n macho yangu uwanjan...hiv kwa mfano mchezaj kama pevel nedved utamuwekea statistics nae....vp kuhusu marcelo
 
Mkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess

CR 7 ana bahati sana kuzaliwa zama hizi za lionel al magico super geniosa Messi maana ndio role model wake, kila siku anaumiza mwili na akili zake ili aonekane yeye ni bora kuliko Messi, katika haya maisha kuna watu wamezaliwa wanajua na wengine hutumia nguvu kubwa saaana ya mwili na akili kulazimisha kujua.

Messi was born to play football nadhani hata mpira wenyewe hua unaona raha ukichezewa na Messi pia nahisi kama kuna sumaku fulani katika miguu yake na kusababisha hata mpira umfuate yeye alipo.
 
Messi ni habari nyingine kabisa. Ronaldo ni goal scorer am he is the best among human footballers. Messi is not a human footballer, he is to be distinguished from the rest of all players. Yeye yuko peke yake peke yake, aliletwa dunian acheze mpira tuuu.....
 
Anaitwa Lionel Andres Messi Amezaliwa Rosario Nchini Argentina Inaaminika Ndio Mchezaji Bora Kuwahi Kutokea Tokea Mwenyezi Mungu Aiumbe DuniA ni Aina ya wachezaji ambao akishika mpira timu pinzani inagwagwaya....na ndivyo anavyofanya kweli.....toka nianze kuishabikia Barca Style yake ya jana ya kuvua Jezi yake yenye nambari kumi mgongoni na kuwaoneshea Mashabiki waliopo pale Uwanja wa Santiago Bernabeu ambao ni uwanja wa Real madrid ambao hawajaruhusu kufungwa katika Mechi 16 Nyumbani ni miongoni mwa staili zilizonifurahisha sanaa.....!!
Naombeni tufurahie uwepo wake huu kwa muda huu ambao yupo Maana itachukua miaka ata 700 kuja kutokea kama La Pulga Wa Blaugrana!

BARCELONA

Kamanda ulikuwa wapi cku zote hizi?? Huyu kiumbe hafananishwi na player yoyote tangia soka limeanza hapa ulimwenguni.labda Diego kwa mbali,,, lakini wengine naona ka wanalukaluka tu.

Nimefurahi mno uwepo wake huyu mfalme.

Asante mfalme wa soka kuwahi kutokea
Asante mchawi wa soka kuwahi kutokea
Asante La pulga kuwahi kutokea

MESSI
MARADONA
PELE
ALFREDO DE STEFANO
REQUELME
ZINEDINE
REDONDO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom