fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,427
- 7,976
Ikitokea umemla mke wa mtu, tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake na usimtangaze kabisa. Tafadhali nyamaza kabisa
Umlindie nani yeye au mumewe? Wengine waume zao hawana charge na wake zao ndio wanasema.ikitokea umemla mke wa mtu,tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake,na usimtangaze kabisa.nyamaza kabisa
Kwani ukikataa ndoa ni lazima ule mke wa ntu ?Wewe kataa kabisa Kula mke MTU.
Tako mweusi je?Kuvua mke wa chupi ni ujinga sana!!
Otherwise awee na tako alafu mweupe hv
Eti mlindie heshima yake,hata kama humlindii heshima Kaa kimya kulinda marinda yako watu wanahasira mtaani
Kuvua mke wa chupi ni ujinga sana!!
Otherwise awee na tako alafu mweupe hv😂
Mke wa chupiMzee umeweweseka hadi umechapia kama Millard Ayo
Kwani kuna mtu anaweza kumtangaza? Haogopi?ikitokea umemla mke wa mtu,tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake,na usimtangaze kabisa.nyamaza kabisa
KweliHata usipotangaza wakati utafika TU hakuna Siri haijalishi miezi
Pole ndugu yangu najua una maomivu ya kuchapiwa na bado wanakuongezea maomivu ya kutolewa siri za ndani.ikitokea umemla mke wa mtu,tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake,na usimtangaze kabisa.nyamaza kabisa