Ifike hatua niachwe tu!

Dah wabongo bana dah,yani starehe mmeifanya kama ugonvi.
Kwani ukipiga kimoja chali ukaridhika kuna shida gani.

Kimoja dharau sana babu hizo piga mashine mpka akaheme kwao tena hao wanaopiga vizinga kukunguta mboo mpka aseme hiki nn
 
Miaka 28 (hili nina uhakika nalo hasa nikizingatia uchakavu wa injini, rejeta, pia mileage sio ya kitoto ila isingekuwa mizinga yote hayo yanavumilika) kuhusu elimu anasema ana diploma ishu za tourism (kuhusu hili Sina uhakika, kweli mwenye diploma anaweka X kwenye S kweli?)

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Siku hizi hata wenye masters wapo wanaotumia X badala ya S. Kuna jamaa mmoja huwa anatumia hizo x na umri n juu ya 30 na ni degree holder.
 
Hao mnaowasifia hawaombi sio kwamba wanapenda kutokupewa pesa. Hawana tu ujasiri wa kuomba ila asilimia karibu mia ya wanawake tunapenda pesa za wapenzi wetu
 
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za Western Union yaani Barclays kabisa achana na hizi za Mkombozi akaunti!

Huku na huku nikajikuta tu namuelewa kila nikimuona moyo unakosa utulivu nikasema cha kufia nini acha nijilipue! Nikatega mingo, binti akajaa wavuni Sasa sijui yeye ndio aliingia kwenye anga zangu au Mimi ndio niliingia kwenye anga zake but all in all viliumana!

Utamu wa penzi jipya ukawa utamu kweli! Yaani vile nikiwa nae najiona kabisa nipo level nyingine! Sasa shamra shamra za penzi jipya zikaisha ikabidi tuingie kwenye true life yaani maisha ya kweli! Aisee sikudanganyi sijawahi kuona mdada anapiga mizinga Kama huyu manzi wangu! Hakuna cha Kim Kardashian wala Kim Kadashiani, hovyo kabisa! Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!

Mara "Babe nmeixhiwa credit nitumie bx" utamtumia vocha baada ya dakika kumi,
"Babe natk niende town nitumie hata 10k ikanisaidie" yaani Hadi siku inaisha hizo buku mbili mbili buku kumi ninazotuma bora ningeenda kuweka vikoba tu ingenilipa mwisho wa mwaka! Halafu mbaya zaidi anaona kupewa hela ni haki yake yaani nilizaliwa kumpa hela yeye, Sasa najiuliza tukitoa mbususu yake kwenye mahusiano yetu ana faida gani nyingine? Nakosa jibu!

Mbaya zaidi hajui kuandika penye S anaweka X hivi mtu wa hivyo anashindwa kuniua kweli? Hapana nimechoka kwa kweli, wiki hii haiishi ataniacha tu! Imefika hatua naona Bora niachwe hakuna namna!

Pia soma: Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?
Niambie maana ya kutega mingo ili nikushauri vizuri ila kijana mambo ya kuishi nyumbani na kutegemea hela za wazazi sio poa nakushauri unipe namba ya huyo demu wa mizinga nami nitege mingo.
 
Hahah nimecheka hiyo misemo ya uchumi wa kati. Lakini mnawakosea sana akina Kim, wale wanamiliki mkwanja wa laana hawapaswi kufananishwa hata kwa bahati mbaya na hawa wajukuu wa TANU.
 
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za Western Union yaani Barclays kabisa achana na hizi za Mkombozi akaunti!

Huku na huku nikajikuta tu namuelewa kila nikimuona moyo unakosa utulivu nikasema cha kufia nini acha nijilipue! Nikatega mingo, binti akajaa wavuni Sasa sijui yeye ndio aliingia kwenye anga zangu au Mimi ndio niliingia kwenye anga zake but all in all viliumana!

Utamu wa penzi jipya ukawa utamu kweli! Yaani vile nikiwa nae najiona kabisa nipo level nyingine! Sasa shamra shamra za penzi jipya zikaisha ikabidi tuingie kwenye true life yaani maisha ya kweli! Aisee sikudanganyi sijawahi kuona mdada anapiga mizinga Kama huyu manzi wangu! Hakuna cha Kim Kardashian wala Kim Kadashiani, hovyo kabisa! Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!

Mara "Babe nmeixhiwa credit nitumie bx" utamtumia vocha baada ya dakika kumi,
"Babe natk niende town nitumie hata 10k ikanisaidie" yaani Hadi siku inaisha hizo buku mbili mbili buku kumi ninazotuma bora ningeenda kuweka vikoba tu ingenilipa mwisho wa mwaka! Halafu mbaya zaidi anaona kupewa hela ni haki yake yaani nilizaliwa kumpa hela yeye, Sasa najiuliza tukitoa mbususu yake kwenye mahusiano yetu ana faida gani nyingine? Nakosa jibu!

Mbaya zaidi hajui kuandika penye S anaweka X hivi mtu wa hivyo anashindwa kuniua kweli? Hapana nimechoka kwa kweli, wiki hii haiishi ataniacha tu! Imefika hatua naona Bora niachwe hakuna namna!

Pia soma: Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?
Mkuu karibu chamani UWABATA
FB_IMG_1619676327460.jpg
Screenshot_20210426-092223_Facebook.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom