Sekretarieti ya Ajira
Member
- Nov 15, 2022
- 25
- 142
Jambo jema sana tunaomba watusaidie miongozo kidogo wanapopata muda watusaidie katika changamoto zetu na maulizo yetuAisee naona mna account hadi huku, hakika ni faraja sana kwa wanajamii forums
Hakika yaani nimefarijika sana, naona kama nmeshapata na placement ππJambo jema sana tunaomba watusaidie miongozo kidogo wanapopata muda watusaidie katika changamoto zetu na maulizo yetu
Nafikiri watatupa mwangaza wa mambo yanayotupa shida kuhuzu ajira hasa hizi placementHakika yaani nimefarijika sana, naona kama nmeshapata na placement ππ
ππHivi tunaruhusiwa kuwa PM utumishiπ₯±π₯±Nafikiri watatupa mwangaza wa mambo yanayotupa shida kuhuzu ajira hasa hizi placement
ππππngoja watujibu hapa wahachelewi kufunga pmππHivi tunaruhusiwa kuwa PM utumishiπ₯±π₯±
Hahaha maana vijana tuna moto na ajiraππππngoja watujibu hapa wahachelewi kufunga pm
Placement zinatutesa sana kila siku kununua bando hata sio vizuri aseehHahaha maana vijana tuna moto na ajira
Yaani Mimi nimeshakuwa mgonjwa kila baada ya dakika 5 narefresh website ya utumishiPlacement zinatutesa sana kila siku kununua bando hata sio vizuri aseeh
ππππYaani Mimi nimeshakuwa mgonjwa kila baada ya dakika 5 narefresh website ya utumishi
Watoe placement tujue Kama wametukanda au tumekandana tuwe na amani
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huwa wanachukua databaseMbona wao huwa hawatangazi nafasi za kazi? Au hawahitaji wafanyakazi wapya ll