Sheria ya utumishi wa umma

Sheria ya utumishi wa umma

H52

Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
18
Reaction score
7
Waungwana poleni na harakati za kuutafuta mkate wa kila leo. Naomba mwenye sheria ya utumishi wa umma inayofanya kazi kwa sasa anisaidie kuipata.. Aksante
 
Tafuta hela nje ya utumishi ndugu kwani sheria bila maokoto ni bunduki isiyo na risasi......niko pale
 
Waungwana poleni na harakati za kuutafuta mkate wa kila leo. Naomba mwenye sheria ya utumishi wa umma inayofanya kazi kwa sasa anisaidie kuipata.. Aksante
 
Attachments

Back
Top Bottom