Mheshimiwa wa sasa wa VUNJO awe makini.....asije akateleza.....kuchunga ng'ombe kutamuhusu.
administraion ya criminal justice ina maana ya majaji au prosecutors
na hapa or linaunganishwa na neno 'knowledge' yaani hapa kinachotakiwa ni 'knowledge' ya sheria na uzoefu wa sheria....Hili mrema hana
OR awe na 'knowledge' na uzoefu wa criminal justice...na kwenye kigezo hichi mrema hayumo
hivyo hapa tumekosea...tumpatie nafasi ingine kama kuna ulazima
Ukiwa mwana CCM suala zima la ELIMU huwa cyo kigezo critical sana ila huwa ni added qualification. Elimu huwa ni kigezo kwa yule ambaye ukada wake ndani ya CCM ni wa mashaka mashaka.Mrema yule ni CCM damudamu.
Lazima wawe na ufahamu na mambo yenyewe, halafu na uthubutu uwepo sio unafikiHivi waandishi wa habari kwanini hawaandiki haya?
mkuu atakua alikua kachoka soma cv za ma dc na ma ded kisha apa aka akasema nenda tu mremaHuo ndiyo uteuzi wa mkuu, ili mradi umsifie.
hata akikuchapa bila kosa lakini baba huwa hakosei shauli yakoMwenyekiti wa bodi ya parole anatakiwa kuwa mbobezi kwenye masuala ya kisheria, sasa huyu mteuzi wa rais ndugu Augustine Mrema sijui cv yake ipoje, je ni mbobezi kwenye haya masuala?
Jiulize tu ni kwanini hata huu uzi umeunganishwa?Hii thread hapo juu haizungumzii sifa za mtu anaetakiwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole ila umeunganishws tu.Hata hivyo uzuri ujumbe umefika.Lazima wawe na ufahamu na mambo yenyewe, halafu na uthubutu uwepo sio unafiki
Waziri wa mambo ya ndani ni nafasi ya kisiasa sana kwa mfumo wetu, pengine ingekuwa na maana zaidi kama angewahi kuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani!