Ifahamu Parole ni nini? Wengi hamjui faida zake

Kumbuka kuwa yeye ameteuliwa kuwa mwenyekiti tu na kwamba kuna makamishna wenye sifa za kutosha wa kumsaidia. Wanaopinga ni wale wasomi uchwara ambao hata wao wenyewe hawajiwezi.
Mkuu lakini kinachojadiliwa hapa si ni sifa za kuwa mwenyekiti wa taifa wa parole?
 
Bahati mbaya umechelewa kuleta uzi,ungewahi mwanzoni mwa mwezi ile nafasi aliyopewa Lyatonga ingekuwa yako
 
Ufafanuzi wako umeeleweka sana kaka bt, mrema kama angekuwa mpinzani asingempigi rais Magufuli kampeni.
Sipondi utendaje wa rais, la hasha! Ila hafanyi kazi na wapinzani.
 
Mrema hana sifa kwa mujibu wa sheria...full stop.
Kama hajaapishwa apewe cheo kingine tu...kwa nini tupinde sheria....
 
Sikuwahi kujua kama Tanzania kuna kitu kama hiki.
Nilikua naona kwenye movie tu.
Kipo mkuu sema hadi wewe ndg yako hadi apate hiyo Parole atakuwa ametaabika sana Labda iwe miongoni mwa Familia ya watawala kama YONA ..na MRAMBA hata robo ya kifungo hawajamaliza wanaambiwa wakaokote Plasta hospital
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom