Ifahamu Parole ni nini? Wengi hamjui faida zake

Kifungu 3. 2 (a)... OR in administration of criminal justice/...

Hicho kifungu ndicho kinachofanya Mrema awe qualified... unapotumia neno "OR" means chochote kati vilivyotajwa....

Mrema alikuwa Waziri ya Mambo ya ndani... which is more less administration... hence Mrema fully qualify.. hayo ya kuwa legal etc... hayana msingi because of the word "OR" na sio "AND"

Hakuna mjadala hapa!
 
Naamini Mrema ataimudu nafasi hii, nakumbuka miaka ile akiwa Waziri akifanya Kazi nzuri. Police posts ni moja ya ubunifu wa Mrema katika kuhakikisha usalama unapatikana.
Parole unajua ni kitu gani?
 
Mwenyekiti wa bodi ya parole anatakiwa kuwa mbobezi kwenye masuala ya kisheria, sasa huyu mteuzi wa rais ndugu Augustine Mrema sijui cv yake ipoje, je ni mbobezi kwenye haya masuala?

2854cedc7b2cea5f689cac9894944234.jpg
Rais JPM sio mwendawazimu, anapomteua mtu huwa amejiridhisha na kuona muhusika nafasi hiyo anayompa ataimudu.
 
Shall be vested with knowledge and experience in "legal matters" and "administration of criminal justice".

Shall be? A command

Legal Matters? A lawyer

Administration of criminal justice? A lawyer or anyone else?

Probably, a lawyer can do the job better than anyone else.

What about Mrema? He once was someone dealing with administration of criminal justice stuff.

'Experience in LEGAL MATTERS or ADMINISTRATION OF CRMINAL JUSTICE' - Sifa ni either legal matters or admin of cr justice. Mrema anayo sifa hiyo ya pili. Alikuwa waziri wa mambo ya ndani aliyeitendea haki hii wizara chini ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi- Mzee Ruksa mpaka majambazi wakasalimisha silaha na wanaume waliozaa nje ya ndoa kukataa kutunza watoto kushukishwa adabu.
 
Upotoshaji huu bila aibu!
 
Ukiona watu wanapiga kelele na kukusema sanaa ujue "umewapiga"..ukiona wanakusifia basi ujitathmini vizuri itakuwa umekosea..By JPM
 
Kifungu 3. 2 (a)... OR in administration of criminal justice/...

Hicho kifungu ndicho kinachofanya Mrema awe qualified... unapotumia neno "OR" means chochote kati vilivyotajwa....

Mrema alikuwa Waziri ya Mambo ya ndani... which is more less administration... hence Mrema fully qualify.. hayo ya kuwa legal etc... hayana msingi because of the word "OR" na sio "AND"

Hakuna mjadala hapa!

administraion ya criminal justice ina maana ya majaji au prosecutors
na hapa or linaunganishwa na neno 'knowledge' yaani hapa kinachotakiwa ni 'knowledge' ya sheria na uzoefu wa sheria....Hili mrema hana
OR awe na 'knowledge' na uzoefu wa criminal justice...na kwenye kigezo hichi mrema hayumo
hivyo hapa tumekosea...tumpatie nafasi ingine kama kuna ulazima
 
Soma upya section 3(2)(a). It is either experience in legal matters OR administration of criminal justice. Kwa hiyo sifa mojawapo inatosha. Acha ubishi.
Hiyo ndio ilikuwa moja ya kazi ya waziri wa mambo ya ndani?!Duh!!Nchi hii tuna safari ndefu.
 
Huwezi kuadminister criminal justice bila na ujuzi wa kisheria/ mwanasheria. Kumbuka waziri wa msmbo ya ndani does not administer criminal justice. Labda angekuwa katiba na sheria labda. Watu wanaoadminister criminal justice ni km mahakimu, majaji, mawakili n.k. sasa mrema anafit wapi hapa?

Kifungu 3. 2 (a)... OR in administration of criminal justice/...

Hicho kifungu ndicho kinachofanya Mrema awe qualified... unapotumia neno "OR" means chochote kati vilivyotajwa....

Mrema alikuwa Waziri ya Mambo ya ndani... which is more less administration... hence Mrema fully qualify.. hayo ya kuwa legal etc... hayana msingi because of the word "OR" na sio "AND"

Hakuna mjadala hapa!
 
Huwezi kuadminister criminal justice bila na ujuzi wa kisheria/ mwanasheria. Kumbuka waziri wa msmbo ya ndani does not administer criminal justice. Labda angekuwa katiba na sheria labda. Watu wanaoadminister criminal justice ni km mahakimu, majaji, mawakili n.k. sasa mrema anafit wapi hapa?
Achana na hao kila kitu kwao sawa tu kama ilivyokuwa wakati wa JK.
 
'Experience in LEGAL MATTERS or ADMINISTRATION OF CRMINAL JUSTICE' - Sifa ni either legal matters or admin of cr justice. Mrema anayo sifa hiyo ya pili. Alikuwa waziri wa mambo ya ndani aliyeitendea haki hii wizara chini ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi- Mzee Ruksa mpaka majambazi wakasalimisha silaha na wanaume waliozaa nje ya ndoa kukataa kutunza watoto kushukishwa adabu.
Waziri wa mambo ya ndani ni nafasi ya kisiasa sana kwa mfumo wetu, pengine ingekuwa na maana zaidi kama angewahi kuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani!
 
Back
Top Bottom