Ifahamu Parole ni nini? Wengi hamjui faida zake

52dfc53dba0f5f2a8fe3bcccdd625b23.jpg
 
Mrema ana cheti cha siasa na uongozi wa ilikua chuo cha propaganda cha kivukoni bas sio zaid ya hapo, sio mjuzi wa mambo ya sheria





Acha kumshushia hadhi "mzee wa kiraracha", ni msomi mbobezi ana PhD aliyoipata kwa njia ya " Mtandao"- Yaani alisoma kwa simu kama wale wanaochukua kozi ya kiingereza kwa Ras Simba."Thesis yake aliifanya kwa sms.
 
Naamini Mrema ataimudu nafasi hii, nakumbuka miaka ile akiwa Waziri akifanya Kazi nzuri. Police posts ni moja ya ubunifu wa Mrema katika kuhakikisha usalama unapatikana.
 
Katuaminisha, huchelewa kulala wakati mwingine mpaka usiku wa manane akichuja majina na sifa za wateuliwa wake.

Anyway Mrema atakuwa na degree ya sheria za sungusungu.
 
Ni wazi rais wetu ametumia busara zaidi kuliko MATAKWA ya KISHERIA!
 
Ukiwa mwana CCM suala zima la ELIMU huwa cyo kigezo critical sana ila huwa ni added qualification. Elimu huwa ni kigezo kwa yule ambaye ukada wake ndani ya CCM ni wa mashaka mashaka.Mrema yule ni CCM damudamu.
 
Shall be vested with knowledge and experience in "legal matters" and "administration of criminal justice".

Shall be? A command

Legal Matters? A lawyer

Administration of criminal justice? A lawyer or anyone else?

Probably, a lawyer can do the job better than anyone else.

What about Mrema? He once was someone dealing with administration of criminal justice stuff.
Usisahau neno "OR"
 
Alishawahi kuwa waziri wa mambo ya ndani, uzoefu wa masuala ya mashtaka na Sheria atakua nao. Sambamba na kuwa mbunge kwa miaka kadhaa ambapo Sheria hupitishwa mumo
 
Hahahahahaahahaahahahaha fadhila kwenye destiny ya Taifa???
 
Kama ni hivyo nadhani tatizo haliko kwa Mrema hapo, bali tatizo liko kwa mteuzi ambaye ndiye aliyemteua.
 
Back
Top Bottom