Bado. Mada ni pana sana haiwezi kuisha haraka hivyo. Karibu uendelee kutufwatiliaMtoa mada umemaliza?
Naam. Ikiwekewa mikakati mizuri na uwekezaji. Hata hivyo biashara zote zinalipa, ila kila mmoja huchagua anayoona inafaa zaidi!hii biashara Ina fedha sana
Wapi?Kuna tatizo gani? View attachment 3515417
Kwanini unarudia rudia thread? Weka thread moja halafu unatia madini kuhusu hii biashara kidogo kidogo kuliko kujaza threads namna halafua hamna kituBado. Mada ni pana sana haiwezi kuisha haraka hivyo. Karibu uendelee kutufwatilia
Ushauri mzuri, nitaendelea kuufikiria nakuona kama naweza kuufanyia kazi. Karibu uendelee kujisomea!Kwanini unarudia rudia thread? Weka thread moja halafu unatia madini kuhusu hii biashara kidogo kidogo kuliko kujaza threads namna halafua hamna kitu
Umefika. Karibu sanaNaweka kambi hapa leta madini hayo mkuu
Contena la spea ili uwe supplier estimation ni million mia ngap kutok chinaUmefika. Karibu sana
Hakuna bei elekezi. Inatokana na aina ya spea, kampuni. Milioni 60 mpaka 200+Contena la spea ili uwe supplier estimation ni million mia ngap kutok china