spea za pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye GEREJI YA PIKIPIKI nataka kuweka DUKA LA SPEA za pikipiki pembeni yake

    Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze. Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja. Nawasilisha.
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Spea za Pikipiki Tanzania: Mwongozo Kamili wa Kuanzisha, Kufanikiwa na Kusajili Biashara Yako Kisheria

    Kwa Nini Biashara ya Spea za Pikipiki Ina Fursa Kubwa Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pikipiki nchini Tanzania yameongezeka kwa kasi kutokana na ukuaji wa huduma za usafiri wa bodaboda, usafirishaji wa mizigo na matumizi ya kawaida vijijini na mijini. Kadiri idadi ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha. 3m+ 5m+ 8m+ 10m+ 15m+> Hapa Unapaa kabisa. Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better! Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama. Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na Bajaji sehemu ya nane Inaendelea

    KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI? ⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine? 👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Saba...)

    BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI, UZOEFU, MAHITAJI NA MIHEMKO YA JAMIII. Habari ndugu msomaji, Siku za karibuni kumekua na muamko mkubwa sana watu wengi wakivutiwa sana na biashara biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Hata hivyo mvuto huo unekuwa na changamoto kadhaa, mafanikio kwa wenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki (sehemu ya 6)

    Je, naweza kuanza biashara ya spea za pikipiki na bajaji kwa kufunga mzigo kutoka China moja kwa moja? Jibu ni ndio. Unaweza kuanza biashara hii kwa kwenda China kufunga mzigo Kisha kuja kuuza. Hata hivyo ni muhimu sana kabla ya kufunga safari kwenda China kujiridhisha na kufahamu mambo kadhaa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (Sehemu ya Tano)

    JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida. Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za pikipiki na bajaji (sehemu ya nne) Inaendelea

    SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA. Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa spea za pikipiki. ⚙kwanza nimuhimu kufahamu aina ya pikipiki unazohitaji kuuza spea zake kama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (sehemu ya Tatu) inaendelea...

    JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA ⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯 Ukitaka kuanzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji ni rahisi sana, ila inahitaji msingi thabiti na msimamo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya pili)

    Sehemu Iliyopita tuliishia kwenye mjadala wa mtaji, Inaendelea... MTAJI WA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI KWA WAUZAJI WA REJAREJA: Makala hii ya Pili Itaangazia zaidi bishara hii kwa wale wanaopenda kufanya rejareja. Hakuna mtaji kamili/sahihi wakuanza nao. Mtaji hutegemea zaidi hali ya kiuchumi ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

    KAMA UNA MTAJI NA UNATAFUTA BIASHARA YA KUFANYA? Umeshawahi kufikiri kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji? Hii ni moja kati ya biashara zinazokua kwa kasi sana, kwani maelfu ya vijana wamejiari kwenye boda boda na bajajiIdadi hii inaongezeka siku hadi siku, hivyo kufanya idadi ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta uzoefu wa kuuza spea za magari, pikipiki au bajaji

    Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane. Nipo kahama kwa sasa. Asanteni.
Back
Top Bottom