maswali na majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Katika Maswali na Majibu

    https://youtu.be/YVI4Qfm93-k?si=fbpAmltWqZJXhUbH
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara

    Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara 1. Leseni ya biashara ni nini? Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake. 2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo? Kuna...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  5. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

    KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana, hasa kidato cha 5 au chini ya hapo, pia wanavyuo. Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema katika masomo yao kwa wenye nia njema. Jukwaa hili ni muhimu na...
Back
Top Bottom