mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Nimekumbuka mambo mengi;
Nasikia uchungu kama vile moyo unataka kutoka;
looooh, nitarudi hapa.
bora hata usiseme UTANIUMBUA buree
Nimekumbuka mambo mengi;
Nasikia uchungu kama vile moyo unataka kutoka;
looooh, nitarudi hapa.
Aiiii...nitaelewa hebu jaribu.
Hivi unajua hatari ya kumuomba msamaha mpenzi wa zamani wewe? Mlishawahi kugegedana kabla? sijui lakini..
Na kama ulisema maneno makali ya ukweli huoni yeye ndo alitakiwa kukutafuta akuombe msamaha kwa kukukwaza??!
Ur ryt my dia imepunguza mzgo kidogo,as i said ni ngumu sana ku have face to face talk since yuko mbali sana na sijui lini atarudi
Thats true my dia,i wonder kwann watu wasiwe wakweli tu,kama haumtak mtu unasema tu
My dia naomba usijichanganye zaidi!!!!!!!!!achana nae huyo jamani
Thante meku umenifumbua macho mimi ndo nlitakiwa niombwe msamaha,haya siji feel guilty tena aisee,ahsante jf imenisaidia kutambua ambayo cjawahi kuyawazaAiiii...nitaelewa hebu jaribu.
Hivi unajua hatari ya kumuomba msamaha mpenzi wa zamani wewe? Mlishawahi kugegedana kabla? sijui lakini..
Na kama ulisema maneno makali ya ukweli huoni yeye ndo alitakiwa kukutafuta akuombe msamaha kwa kukukwaza??!
Mwenzio mapenzi yanamsulubisha. Chezeya kupenda wewe?
Kuna dada mmoja alinambiaga alishawahi kupenda then wakaachana akaolewa na njemba nyingine. Wakati wa mgegedo ili afike kileleni ni lazima avute taswira ya ex wake.
Naye wimbo wake ndo huu huu wa "if could turn back the time". Usifanye mchezo na mapenzi.
Afu unajua asilimia kubwa ya wanandoa ni wale ambao wameoa/kuolewa na wasiowapenda kwa dhati?
Ndio maana infidelity is inevitable
Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli
kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time
Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli
kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time
Eee kweli Aspirin ntakua na langu kwakweli..penzi ni noumerYani ye aliyedhalilishwa asiombwe msamaha, ye aliyebwatuka mitusi ndo aombe msamaha.
Hivi kudhalilishwa na kutukanwa ipi ngumu kumeza? Mi ntukane utakavyo ila ukinidhalilisha patakuwa hapatoshi.
Nakwambia huyu shosti wako ana lake jambo. Usifanye mchezo na penzi
hakuna experience nzuri kama kutendwa kwenye mapenzi maana inahamasisha. Actually its a motivationHalafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli
kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time
Mfano mtu amekuudhi je una haki ya kumpa mtu maneno machafu?Muke ya muzungu vipi jaman mbona kunipa maneno mwenzio.
hakuna experience nzuri kama kutendwa kwenye mapenzi maana inahamasisha. Actually its a motivation
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi...
Miaka kadhaa iliyopita zaid ya 9,nlikutana na huyu kijana ambae nilimpenda kuliko zaidi ya neno kupenda mpaka leo sijui what happened ila I thank God for what i have now,probably ningekua nae nisingekua na furaha kama nilivyo sasa,siwezi kusema we broke up maana sina hata uhakika kama we real dated,yaani since tumefahamiana na kuanzisha urafiki as boyfriend na galfriend hatujawahi kuwa close,ni distance relationship akiwa mkoa huu me nipo ule akirudishwa huku me nimepelekwa kule,kutokana na hilo anything can happen like kuanzisha mahusiano na mtu mwingine tofauti,kuna kipindi tulikua tunawasiliana sana mpaka unahisi mko pamoja,ghafla mawasiliano yakakatika was trying kuyarudisha but like he was pushing me away like kuni avoid,nikaelewa kua distance r/ship ni mara chache ina work so nkaendelea na yangu namm.
But before sijaingia katika uhusiano mwingine nlimtafuta nkamuuliza mbona kachange sana kama kapata mtu mwingine and am not of his type anambie niendelee na yangu,kiukweli hajawahi kua specific kunambia jibu lilikua bado ananipenda,hajawahi kuadmit kua na uhusiano na mtu mwingine lakini nlikua najua tu kupitia means tofauti tofaut,nami nikawa nafanya yangu,mwaka jana mwishoni nkakutana na mtu ambaye alikua anamdate katika story za pale na pale akanambia kitu ambacho kiliniuma na kiliniudhi sn kua alimwambia kua mimi ndo nliye mtongoza yeye,hapana sikueza kuvumilia nkamtafuta kwakua nlikua na hasira kwasababu ni kama alikua ananidanganya namuuliza nini tatizo hajawahi kuniambia,kama ana mtu mwingine hajawahi kukubali kitu mpaka najua mwenyewe nkapatwa na hasira nlimwambia maneno makali sana ambayo yalimkera but by that time sikuona ni tatzo sababu ya hasira.
Sasa nafsi inanisuta kwa ajili ya maneno nliyomtakia natamani kurudisha time nyuma ili ule urafiki wa karibu uliokuepo urudi,nkimwambia anisamehe anadai yuko poa ila i owe hm some explanations,me siezi kumwelezea katika simu sababu naeza kumsababishia uadui na yule gal wake nataka nimuelezee one to one ila hiyo sijui itakua lini maana yuko mbali
sina uwezo wa kumuona kwa muda usiojulikana.
I am real sorry popote ulipo,i know we never meant to be together but we cant be enemies,i hope utansamehe siku moja,kila la kheri popote ulipo I pray for ur happness as am happy here.
And this is my story kwenye upande wa mahusiano.
Eee kweli Aspirin ntakua na langu kwakweli..penzi ni noumer