If only i could turn back time...

If only i could turn back time...

hahaha u seem to forget so easily...i said am happy here,only seeking for forgivness coz nahisi nimemuudhi sana
u think yo ar hap but ur not. kuelezatu haya huku ni ishara nzuri ya kua
there is a conflict between yourself. hata hivyo kitu sahihi ni kumtafuta
umuombe msamaham (kama kweli ni msamaha unataka)
 


unaujua huu wimbo? kuna wanaosema if we cant be lovers, we cant be friends. Sasa wewe mtoa mada u better not regret and wish to turn the days back like R. Kelly can u afford to be friends while he is not ur lover and it happens u were in thought of being lovers?? Better think twice like Celine Dion. All the best this is what came into my mind after
reads ur thead, good day.

Thank you my dia,we cant be lover my dia hata friends ni ule wa kawaida si ule wa sanaaa,ni kutokua maadui tu ndo nachotaka.
 
Last edited by a moderator:
Kweli mapenzi noma inanikumbusha mpnz wng wa kwanza zamani nilimtumia barua akapeleka kwa mwalimu mkuu primary,nikapigwa still bado namkumbuka dah,
 
u think yo ar hap but ur not. kuelezatu haya huku ni ishara nzuri ya kua
there is a conflict between yourself. hata hivyo kitu sahihi ni kumtafuta
umuombe msamaham (kama kweli ni msamaha unataka)
ni msamaha tu mpendwa nothing else,yeah am not happy because najutia kushindwa kujizuia kuongozwa na hasira
 
Kweli mapenzi noma inanikumbusha mpnz wng wa kwanza zamani nilimtumia barua akapeleka kwa mwalimu mkuu primary,nikapigwa still bado namkumbuka dah,

hahaha jaman nae kwann apeleke kwa mwalimu mkuu?utoto noma
 
hahaha u seem to forget so easily...i said am happy here,only seeking for forgivness coz nahisi nimemuudhi sana

Siamini.

Na umri huu naamini kuna kitu unakimiss kwa huyu mtu na msamaha unachukuliwa kama ngao tu.

Huyu uliyenae sasa hivi umeshamshirisha kuwa umemuudhi ex wako na guilty inakusuta kiasi kwamba unatamani muda ungerudi nyuma ili umwombe "msamaha"?
 


unaujua huu wimbo? kuna wanaosema if we cant be lovers, we cant be friends. Sasa wewe mtoa mada u better not regret and wish to turn the days back like R. Kelly can u afford to be friends while he is not ur lover and it happens u were in thought of being lovers?? Better think twice like Celine Dion. All the best this is what came into my mind after reads ur thead, good day.



umeonaee....au ndo mapenzi ya kilokole kaka na dada
 
Last edited by a moderator:
Pole,ila sidhani kama unatakiwa kujihisi ni mkosaji kiasi icho afterall km uyo msichana aliyosema ni kweli bhac that man wasn't taking yu serious.....I have been in the same shit lakn namshukuru mungu was able to let it go na sikuwahi kumuuliza kitu yule mwanaume...mapenz hapana jamani.
Thats true my dia,i wonder kwann watu wasiwe wakweli tu,kama haumtak mtu unasema tu
 
Siamini.

Na umri huu naamini kuna kitu unakimiss kwa huyu mtu na msamaha unachukuliwa kama ngao tu.

Huyu uliyenae sasa hivi umeshamshirisha kuwa umemuudhi ex wako na guilty inakusuta kiasi kwamba unatamani muda ungerudi nyuma ili umwombe "msamaha"?

Itabidi tu uamini Babu Aspirini.
KURUDISHA MUDA NYUMA NIKIMAANISHA NISINGEONGEA MANENO YALE,NA NLIENAE ANAJUA NA AMENIFUNDISHA KUTO KULUMBANA NA MTU WAKATI NA HASIRA.
 
This can reduce the guilty that u feel bt inorder to be free just find him have a talk face to face,tell him how sorry u a,in that way u will be free once for all
 
PLL, honestly sijaelewa sababu ya regret yako..

Halafu hapo uliposema kuwa msamaha wako mpaka muonane face to face..mh!!??

Bado sijakusoma vizuri...
 
Last edited by a moderator:
This can reduce the guilty that u feel bt inorder to be free just find him have a talk face to face,tell him how sorry u a,in that way u will be free once for all
Ur ryt my dia imepunguza mzgo kidogo,as i said ni ngumu sana ku have face to face talk since yuko mbali sana na sijui lini atarudi
 
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi...
Miaka kadhaa iliyopita zaid ya 9,nlikutana na huyu kijana ambae nilimpenda kuliko zaidi ya neno kupenda mpaka leo sijui what happened ila I thank God for what i have now,probably ningekua nae nisingekua na furaha kama nilivyo sasa,siwezi kusema we broke up maana sina hata uhakika kama we real dated,yaani since tumefahamiana na kuanzisha urafiki as boyfriend na galfriend hatujawahi kuwa close,ni distance relationship akiwa mkoa huu me nipo ule akirudishwa huku me nimepelekwa kule,kutokana na hilo anything can happen like kuanzisha mahusiano na mtu mwingine tofauti,kuna kipindi tulikua tunawasiliana sana mpaka unahisi mko pamoja,ghafla mawasiliano yakakatika was trying kuyarudisha but like he was pushing me away like kuni avoid,nikaelewa kua distance r/ship ni mara chache ina work so nkaendelea na yangu namm.
But before sijaingia katika uhusiano mwingine nlimtafuta nkamuuliza mbona kachange sana kama kapata mtu mwingine and am not of his type anambie niendelee na yangu,kiukweli hajawahi kua specific kunambia jibu lilikua bado ananipenda,hajawahi kuadmit kua na uhusiano na mtu mwingine lakini nlikua najua tu kupitia means tofauti tofaut,nami nikawa nafanya yangu,mwaka jana mwishoni nkakutana na mtu ambaye alikua anamdate katika story za pale na pale akanambia kitu ambacho kiliniuma na kiliniudhi sn kua alimwambia kua mimi ndo nliye mtongoza yeye,hapana sikueza kuvumilia nkamtafuta kwakua nlikua na hasira kwasababu ni kama alikua ananidanganya namuuliza nini tatizo hajawahi kuniambia,kama ana mtu mwingine hajawahi kukubali kitu mpaka najua mwenyewe nkapatwa na hasira nlimwambia maneno makali sana ambayo yalimkera but by that time sikuona ni tatzo sababu ya hasira.
Sasa nafsi inanisuta kwa ajili ya maneno nliyomtakia natamani kurudisha time nyuma ili ule urafiki wa karibu uliokuepo urudi,nkimwambia anisamehe anadai yuko poa ila i owe hm some explanations,me siezi kumwelezea katika simu sababu naeza kumsababishia uadui na yule gal wake nataka nimuelezee one to one ila hiyo sijui itakua lini maana yuko mbali
sina uwezo wa kumuona kwa muda usiojulikana.
I am real sorry popote ulipo,i know we never meant to be together but we cant be enemies,i hope utansamehe siku moja,kila la kheri popote ulipo I pray for ur happness as am happy here.
And this is my story kwenye upande wa mahusiano.

aseee...ni mimi nini??yani inafanana kabisa na jinsi nilivopigana chini na mtoto flani hivi..sema hapo katikati ya maneno yako uka-diverge kidogo from my story back then..lol shits zinatokea.
 
PLL, honestly sijaelewa sababu ya regret yako..

Halafu hapo uliposema kuwa msamaha wako mpaka muonane face to face..mh!!??

Bado sijakusoma vizuri...
Hhaha Mentor tayari umeshapata tafsiri yako sidhani kama maelezo yangu yataeleweka,
Sababu ya regret ni kuongea maneno makali bila ya kufikiria.na face to face ndo nzuri zaidi coz atasema yake hapo si katika simu
 
aseee...ni mimi nini??yani inafanana kabisa na jinsi nilivopigana chini na mtoto flani hivi..sema hapo katikati ya maneno yako uka-diverge kidogo from my story back then..lol shits zinatokea.

Si wewe aisee
 
Hhaha Mentor tayari umeshapata tafsiri yako sidhani kama maelezo yangu yataeleweka,
Sababu ya regret ni kuongea maneno makali bila ya kufikiria.na face to face ndo nzuri zaidi coz atasema yake hapo si katika simu

Aiiii...nitaelewa hebu jaribu.

Hivi unajua hatari ya kumuomba msamaha mpenzi wa zamani wewe? Mlishawahi kugegedana kabla? sijui lakini..

Na kama ulisema maneno makali ya ukweli huoni yeye ndo alitakiwa kukutafuta akuombe msamaha kwa kukukwaza??!
 
Si wewe aisee

labda ndo mimi..how sure sio mimi bana??

sio mimi bana my case was kinda different ila yule mdada naye alinivurumishia maneno duuh, i stayed kimya and never replied anything, ikapita like 6 months sms ikaingia in my phone saying sorry for what she said using new number, i said "its OKAY", and sikuwasiliana naye tenaaaa...it was 4yrs back.
 
Itabidi tu uamini Babu Aspirini.
KURUDISHA MUDA NYUMA NIKIMAANISHA NISINGEONGEA MANENO YALE,NA NLIENAE ANAJUA NA AMENIFUNDISHA KUTO KULUMBANA NA MTU WAKATI NA HASIRA.

Huyo mme wako anakupenda? Ni nadra sana kwa mwanaume kumsikiliza na kumshauri mkewe namna ya kumalizana vizuri na ex wake

Wengi nikiwepo mie wangekuunga mkono kwa ulichokifanya. Tena mi ningekusaidia kumwagia mitusi.

Haiingii akilini kutaka kuomba msamaha kwakuwa umemtukana. Ye alivokudhalilisha alikuomba msamaha au nae anatamani muda urudi nyuma.

Narudia tena bibie unatuuzia mbuzi kibudu kwenye kiroba. Kuna kitu unakimisi, msamaha uzushi tu.
 
Sioni sababu ya ku regret!!!!!!!!!!!yeye ndio alipaswa aregret kwasababu alikutenda!!!!!!!!!!

Do you want him BACK or what!!!!!!!!!!

What he did makes you say what you said!!!!!!!

Turning back the Time NOWAY!!!!!!!AS long as your happy now I wonder why you care abt

the so called FORGIVENESS of yours!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom