PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi...
Miaka kadhaa iliyopita zaid ya 9,nlikutana na huyu kijana ambae nilimpenda kuliko zaidi ya neno kupenda mpaka leo sijui what happened ila I thank God for what i have now,probably ningekua nae nisingekua na furaha kama nilivyo sasa,siwezi kusema we broke up maana sina hata uhakika kama we real dated,yaani since tumefahamiana na kuanzisha urafiki as boyfriend na galfriend hatujawahi kuwa close,ni distance relationship akiwa mkoa huu me nipo ule akirudishwa huku me nimepelekwa kule,kutokana na hilo anything can happen like kuanzisha mahusiano na mtu mwingine tofauti,kuna kipindi tulikua tunawasiliana sana mpaka unahisi mko pamoja,ghafla mawasiliano yakakatika was trying kuyarudisha but like he was pushing me away like kuni avoid,nikaelewa kua distance r/ship ni mara chache ina work so nkaendelea na yangu namm.
But before sijaingia katika uhusiano mwingine nlimtafuta nkamuuliza mbona kachange sana kama kapata mtu mwingine and am not of his type anambie niendelee na yangu,kiukweli hajawahi kua specific kunambia jibu lilikua bado ananipenda,hajawahi kuadmit kua na uhusiano na mtu mwingine lakini nlikua najua tu kupitia means tofauti tofaut,nami nikawa nafanya yangu,mwaka jana mwishoni nkakutana na mtu ambaye alikua anamdate katika story za pale na pale akanambia kitu ambacho kiliniuma na kiliniudhi sn kua alimwambia kua mimi ndo nliye mtongoza yeye,hapana sikueza kuvumilia nkamtafuta kwakua nlikua na hasira kwasababu ni kama alikua ananidanganya namuuliza nini tatizo hajawahi kuniambia,kama ana mtu mwingine hajawahi kukubali kitu mpaka najua mwenyewe nkapatwa na hasira nlimwambia maneno makali sana ambayo yalimkera but by that time sikuona ni tatzo sababu ya hasira.
Sasa nafsi inanisuta kwa ajili ya maneno nliyomtakia natamani kurudisha time nyuma ili ule urafiki wa karibu uliokuepo urudi,nkimwambia anisamehe anadai yuko poa ila i owe hm some explanations,me siezi kumwelezea katika simu sababu naeza kumsababishia uadui na yule gal wake nataka nimuelezee one to one ila hiyo sijui itakua lini maana yuko mbali
sina uwezo wa kumuona kwa muda usiojulikana.
I am real sorry popote ulipo,i know we never meant to be together but we cant be enemies,i hope utansamehe siku moja,kila la kheri popote ulipo I pray for ur happness as am happy here.
And this is my story kwenye upande wa mahusiano.