If only i could turn back time...

If only i could turn back time...

Yeye alionesha sense ya kujutia alichokifanya hadi wewe uhangaike hivi

kumtafuta tena face to face kumuomba msamaha

HAYA MUKE YA MUZUNGU NGOJA NIKAE PEMBENI!!!!!!!!

Hiyo ya kutaka kuonana naye face to face ndo utumie akili za kuambiwa uchanganye na za mbayuwayu.
 
duuuhh napata picha kama vile ulimlaaani ila sina uhakika..inaonesha kiasi flani unahofu ya Mungu maaana sio rahisi mtu kukumbuka ubaya aliomtendea mtu..
 
Daah,umenikumbusha mbali my dia;we acha tuu.nlishawahi kumnyambua mtu mpaka waliokua eneo la tukio wakaondoka kwa kuogopa kusikia yaliyokua yanaongelewa but now ndo anaelekea kuwa mume!Ni vizuri kutokua na ugomvi na watu na kuwa mwepesi kuomba msamaha
 
No need ya kurudisha siku nyuma, by the way he deserve that,..
I wish kila mtu angekuwa na moyo kama mimi, coz sijawah kubembeleza sehemu pasipoeleweka, nikiona NO LOVE FOUND, sitongoz mara mbili, sijawah na wala sitawah....hata uwe na vitu vyoooote ninavyovihitaj kwa mwanamke, IF you dont feel me, siwez kukulazimisha, so dada PLL we jikaushie zako, kuwa na amani, he deserve that...
 
And like and like and like
Nyie st mna mambo, sasa hapa tunajadili au ni taarifa?
 
Afadhali umekiri. Sasa skiza wangu. Forget about the past, songa mbele. Forgive and forget. Nami pia nimepitia humo ndo maana nikakushupalia. İ learnt my lesson and passed the exam.

Maisha yamesonga mbele, she is now my sister. Sometimes we can learn to love wale tusiowapenda naturally.
Thank you Aspirin kwa ushauri nami nishapass huu mtihani tayar
 
And like and like and like
Nyie st mna mambo, sasa hapa tunajadili au ni taarifa?
hakuna cha st wala nini,hapa tunajadii na tunataharifiana pia
 
No need ya kurudisha siku nyuma, by the way he deserve that,..
I wish kila mtu angekuwa na moyo kama mimi, coz sijawah kubembeleza sehemu pasipoeleweka, nikiona NO LOVE FOUND, sitongoz mara mbili, sijawah na wala sitawah....hata uwe na vitu vyoooote ninavyovihitaj kwa mwanamke, IF you dont feel me, siwez kukulazimisha, so dada PLL we jikaushie zako, kuwa na amani, he deserve that...
Kweli aisee he deserves that,nami ndo najikausha hivo akijisikia kunisalimu haya akichuna ndo tunaendelea hivo hivo
 
duuuhh napata picha kama vile ulimlaaani ila sina uhakika..inaonesha kiasi flani unahofu ya Mungu maaana sio rahisi mtu kukumbuka ubaya aliomtendea mtu..

Uko sawa hofu ya Mungu ninayo sema pia nkogi short temper sana wakati mwingine
 
Hata mnapogombana au kuhitilafiana ni vizuri kuchagua maneno yako kwa uangalifu mkubwa badala ya kukurupuka ili usije ukabaki na majuto mjukuu. Ungeamua kukaa kimya hasira zako zingepotea na sasa hivi usingekuwa na majuto ya maneno makali uliyoyatumia. Siku za usoni uwe muangalifu katika kuzicontrol hasira zako ili zisikuachie majonzi kama haya.

ni msamaha tu mpendwa nothing else,yeah am not happy because najutia kushindwa kujizuia kuongozwa na hasira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom