Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,017
- 6,777
Jana nimeota nipo kituo cha Polisi nahojiwa na polisi.
Nilikuwa nahojiwa kwa kosa nililofanya.
Halafu Polisi wakaniachia.
Lakini niliuliza maswali mengi pale.
Hata ndiyo niliyoota niliuliza.
Juzi nimemuota Yesu.
Yesu anatuongoza disciples kutembea kidogo kufanya mazoezi.
Tunatembea halafu nilipogeuka nyuma nikaona disciples wengine hawapo. Tulikuwa watu watatu tu; Yesu ,mimi na disciple mwingine.
Yesu akasema,: "Wale wengine hatukuwaarifu, lakini tungewaarifu,no doubt wangekuja."
Sasa,pale mbele Yesu anasema turudi.
Halafu kulikuwa na shimo kubwa,mtu akatumbukia katika Lile shimo na akijaribu kutoka anashindwa.
Halafu wanakuja watu,wamo mule mule ndani ya shimo,wanamkamata, flanking him,mmoja kulia,mmoja kushoto,wanamkamata, eagerly,wanataka kwenda kumtesa.
Halafu mimi namuuliza Yesu," Ni mwenzetu yule aliyekamatwa?"
Yaani,ni mwenzetu yule tuliyekuja naye?
Halafu pale,the picture was not clear,the picture was absolutely not clear: sijui Yesu pia alianguka kwenye lile shimo?
I must say I don't the meaning of the dream.
Pia I don't know meaning of the dream ambapo mimi nahojiwa na polisi,kwa sababu I am always a law-abiding citizen, and everything I do is above board.
But I liked that Jesus dream.
Kwanza it was Jesus leading us.
And then it would be me transformed into Jesus.
And Jesus was not wearing shoes.
Again,I say,I don't know the meaning of the dream.