IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Jagina,
Akili yake inakataa kukubali kuwa niko kazini napewa tiketi ya ndege, malazi na nalipwa fedha kwa ujuzi nilionao.

Ujuzi niliopata kwa kusoma na kupasi mitihani yangu.

Chuo kikinialika kinanilipa kwa elimu yangu.

Nisingeweza kuzunguka kote huko laiti nikialikwa inabidi nijilipie nauli, malazi nk.

Haya hayakubali kuingia akilini kwake.

Anaona mimi siko kazini na sistahili kunufaika kwa elimu niliyonayo.

Kwa kuwa yeye hajaweza kufikia kiwango hichi basi mimi nisiwe hivi nilivyo.

Siwezi kulipwa kwa kisomo changu.

Nafadhiliwa.

Namwekea picha hapo chini aangalie niko kazini.

Narekodi kipindi cha historia ya David Livingstone kwa ajili ya BBC Bush House, London.

Huu ni mwaka wa 1991.
Kwa kazi hii BBC wanalipa fedha.

View attachment 2938208
BBC Glasgow, Scotland 1991
Sasa mzee wangu....wewe ukifadhiliwa....sio lazima na mimi nifadhiliwe.......mm nina uwezo wa kujikimu katika kazi zangu.
Kote niliposafiri nilijilipia mwenyewe.
Hasa katika majukumu yangu ya mwandishi wa habari wa kujitegemea.
Tuendelee na mada kuhusu UBORA ULIOTUKUKA WA MOSSAD NA IDF KATIKA NYANJA ZA UJASUSI
 
Nikishaona mindset ya mtu ninayejadili naye,huwa sipotezi muda!Naaga tu kiroho safi!
Mkuu......hujalazimishwa kuchangia.....hasa kama wewe ni pro arabs......Tuache tunaojadiliana tuendelee......sio lazima ujumuike nasi.......nipo na mzee wangu Said Mohammed tunaendelea.
Kua na amani
 
YOUNG AND BRAVE.......WITH DECOY OF AMINI MERCEDES BENZ.
1976.....!!!
Hawa ni vijana wa IDF waliopigana 1973 kufa au kupona.
Screenshot_20240318-145734.png
 
Mkuu......hujalazimishwa kuchangia.....hasa kama wewe ni pro arabs......Tuache tunaojadiliana tuendelee......sio lazima ujumuike nasi.......nipo na mzee wangu Said Mohammed tunaendelea.
Kua na amani
Nelson...
Hujafikia kiwango cha kujadiliana na mimi.
Mimi sijajadili lolote na wewe katika hili somo la Ghaza.

Kama alivyokuona Bome nami ni hivyo pia.

Vipi nitajadili na wewe ilhali huwezi hata kuandika sawasawa na hata unapoelekezwa unashindwa kuelewa?

Mjadala unakuwa baina ya pande zinazoweza kuchangia fikra tofauti.
Unasema hujapata kusoma paper au kitabu chochote nilichoandika.

Unasema mengi ambayo ni kinyume na usomi.

Wala hujui kama kitabu changu cha Abdul Sykes kimevunja rekodi ya vitabu vyote vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kinakwenda toleo la nne.

Wala hujui kuwa Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim inafuatia yangu na ya tatu ni ya Brig.General Hashim Mbita.

Ungenivutia kuingia katika mjadala ungekuwa unaeleza fikra za Edward Said au George Habash katika tatizo la Palestine.

Huna uwezo huo.
Unachoweza ni kunakili picha na maandishi unaweka hapa.

Hapana kasome kwanza.
Huna elimu unayodhania unayo.

Unajiita mwandishi wa kujitegemea ilhali hujui kuandika na baya zaidi unaleta uongo hapa kuwa unasafiri dunia kama mwandishi kwa gharama zako.

Shirika gani la habari litakuajiri wewe kwa kiwango hicho cha ujinga?

(Nalitumia neno ''ujinga'' si kama tusi ila kueleza hali yako).

Wewe uwe mwandishi mimi nisikufahamu?

Kwa nini unataka kujifedhehesha bila ya sababu?

Mji gani uliofika wewe kuandika habari?

Habari gani utaandika wewe?

Angalia picha hizo hapo chini:

1710771719977.jpeg

Ofisi za Africa Analysis na Ahmed Rajab Mhariri wa jarida hilo, London 1991.

1710772030500.png

New African, London
1710772340465.png
 
Mkuu mbona unacatch feeling..........uwanja upo huru.....kuchangia.
Ndio maana nikaleta huu uzi since last year
Nelson...
Usione haya kujirekebisha.
Dots ni 3 tu katika kanuni za uandishi: ...

Sote sisi tumesoma kwa wengine.
Tumeelekezwa pale tulipokosea na tukawa hatufanyi tena makosa.
 
Nelson...
Hujafikia kiwango cha kujadiliana na mimi.
Mimi sijajadili lolote na wewe katika hili somo la Ghaza.

Kama alivyokuona Bome nami ni hivyo pia.

Vipi nitajadili na wewe ilhali huwezi hata kuandika sawasawa na hata unapoelekezwa unashindwa kuelewa?

Mjadala unakuwa baina ya pande zinazoweza kuchangia fikra tofauti.
Unasema hujapata kusoma paper au kitabu chochote nilichoandika.

Unasema mengi ambayo ni kinyume na usomi.

Wala hujui kama kitabu changu cha Abdul Sykes kimevunja rekodi ya vitabu vyote vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kinakwenda toleo la nne.

Wala hujui kuwa Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim inafuatia yangu na ya tatu ni ya Brig.General Hashim Mbita.

Ungenivutia kuingia katika mjadala ungekuwa unaeleza fikra za Edward Said au George Habash katika tatizo la Palestine.

Huna uwezo huo.
Unachoweza ni kunakili picha na maandishi unaweka hapa.

Hapana kasome kwanza.
Huna elimu unayodhania unayo.

Unajiita mwandishi wa kujitegemea ilhali hujui kuandika na baya zaidi unaleta uongo hapa kuwa unasafiri dunia kama mwandishi kwa gharama zako.

Shirika gani la habari litakuajiri wewe kwa kiwango hicho cha ujinga?

(Nalitumia neno ''ujinga'' si kama tusi ila kueleza hali yako).

Wewe uwe mwandishi mimi nisikufahamu?

Kwa nini unataka kujifedhehesha bila ya sababu?

Mji gani uliofika wewe kuandika habari?

Habari gani utaandika wewe?

Angalia picha hizo hapo chini:

View attachment 2938324
Ofisi za Africa Analysis na Ahmed Rajab Mhariri wa jarida hilo, London 1991.

View attachment 2938326
New African, London
View attachment 2938327
Sasa mzee wangu...unataka majigambo na kunidhiaki kijana wako!!!
Wote tumesafiri mzee wangu.
Wote tumepata elimu ya vyuo kikuu.
Tofauti yetu ni kwamba...wewe umepata elimu za wakoloni wa kizungu na kiarabu.
Mm nimepata elimu za kiroho na kimwili za kibantu.
Wewe unaishi kwa nadharia ila mimi nimeishi katika uhalisia...wa amani na vita na uhasama na ukweli na uwazi.
Nimeishi kwenye war zone,s.
Nimeishi kwenye amani.
Sihitaji majigambo sababu ulimwengu ninaotokea una taratibu zake.Vitabu ulivyoandika ni vya mrengo wako wewe sio mwandishi huru...unaegemea upande unaojulikana mzee wangu.
Huwezi kunielewa sababu wewe sio mwandishi huru...hata mada zako ni za upande flani.
 
Nelson...
Usione haya kujirekebisha.
Dots ni 3 tu katika kanuni za uandishi: ...

Sote sisi tumesoma kwa wengine.
Tumeelekezwa pale tulipokosea na tukawa hatufanyi tena makosa.
Sijakataa kurekebishwa...wewe ni mzee wangu.
Kwetu kule kwenye asili ya mizimu ya babu zetu BUNYORO...TUNASEMA UZEE NI TUNU ILIYOTUKUKA.
 
Nelson...
Hujafikia kiwango cha kujadiliana na mimi.
Mimi sijajadili lolote na wewe katika hili somo la Ghaza.

Kama alivyokuona Bome nami ni hivyo pia.

Vipi nitajadili na wewe ilhali huwezi hata kuandika sawasawa na hata unapoelekezwa unashindwa kuelewa?

Mjadala unakuwa baina ya pande zinazoweza kuchangia fikra tofauti.
Unasema hujapata kusoma paper au kitabu chochote nilichoandika.

Unasema mengi ambayo ni kinyume na usomi.

Wala hujui kama kitabu changu cha Abdul Sykes kimevunja rekodi ya vitabu vyote vya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kinakwenda toleo la nne.

Wala hujui kuwa Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim inafuatia yangu na ya tatu ni ya Brig.General Hashim Mbita.

Ungenivutia kuingia katika mjadala ungekuwa unaeleza fikra za Edward Said au George Habash katika tatizo la Palestine.

Huna uwezo huo.
Unachoweza ni kunakili picha na maandishi unaweka hapa.

Hapana kasome kwanza.
Huna elimu unayodhania unayo.

Unajiita mwandishi wa kujitegemea ilhali hujui kuandika na baya zaidi unaleta uongo hapa kuwa unasafiri dunia kama mwandishi kwa gharama zako.

Shirika gani la habari litakuajiri wewe kwa kiwango hicho cha ujinga?

(Nalitumia neno ''ujinga'' si kama tusi ila kueleza hali yako).

Wewe uwe mwandishi mimi nisikufahamu?

Kwa nini unataka kujifedhehesha bila ya sababu?

Mji gani uliofika wewe kuandika habari?

Habari gani utaandika wewe?

Angalia picha hizo hapo chini:

View attachment 2938324
Ofisi za Africa Analysis na Ahmed Rajab Mhariri wa jarida hilo, London 1991.

View attachment 2938326
New African, London
View attachment 2938327
Unataka kujua miji niliyofika duniani mzee wangu????
Tuendelee na mada yetu ya ujasusi.......mambo ya kusafiri tutakua nje ya mada.
 
Mzee wangu unashangaa mimi kusafiri duniani kwa kujigharamia......na unashangaa mimi kua mwandishi huru?
Ulitaka niwe deiwaka wa mashirika ya habari duniani?
Mzee wangu dunia ya sasa ya vijana weledi na wajasiri kama mimi ni pana.
Ukiwa muelewa utanielewa
 
Unataka kujua miji niliyofika duniani mzee wangu????
Tuendelee na mada yetu ya ujasusi ... mambo ya kusafiri tutakua nje ya mada.

Dot ni 3 ...
In Search of Knowledge
Durban, J'burg, Sun City, Cape Town, Mbabane, Manzini, Harare, Bulawayo, Lusaka, Maputo, Mombasa, Nairobi, Naivasha, Kampala, Jinja, Entebbe, Addis Ababa, Khartoum, Omdurman, Jazeera, Cairo, Alexandria, Port Said, Ismailiyya, Suez, Damieta, Mehal El Kubra,Tanta, Lagos, Ibadan, Aden, Taiz, Sanaa, Jeddah, Makka, Madina, Dubai, Abu Dhabi, Muscat, North Sea, London, Glasgow, Edinburgh, Cardiff, Berlin, Humburg, Amsterdam, Hague, Geneva, Paris, Le Havre, Iowa City, Chicago, New York, New Jersey, Washington, Istanbul.

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Kwahiyo unataka na mimi nikutajie nchi.....nilizopita na nchi nilizoishi mzee wangu????
NB: VITABU VYAKO MZEE WANGU UNAWASIFIA WAKOLONI WA KIARABU NA DINI ZA KIARABU....HAPO HUNA HAKI YA KUKAA NA MWANDISHI HURU MBOBEFU KAMA MIMI NA KUZUNGUMZIA MAKALA HURU ZINAZOWAHUSU WALIMWENGU.
 
Nelson...
Kitabu hicho hapo chini kinasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hii ni ''Corrective History.''

Utafiti mpya ukachangia kusahihisha historia iliyokuwapo ambayo ilikuwa na makosa.

Kitabu kimeongeza elimu mpya.

View attachment 2937847
Matoleo tofauti ya kitabu
Mara ya Kwanza kimechapwa London, 1998
View attachment 2937849
Kimechapwa Nairobi 2008
View attachment 2937850
Kitabu kinasomeshwa shule za msingi kufundisha lugha ya Kiingereza na Historia
Huu ni mradi maalum wa Oxford University Press, Nairobi
Kimechapwa 2006
View attachment 2937852
Kitabu cha shule za msingi kusomesha Kiingereza na Historia
View attachment 2937865
Mwandishi kati ya waandishi 500 walioandika hili kamusi
Mradi wa Harvard na Oxford University Press, New York 2011​

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Sekondari au Chuo Kikuu katika vitabu hivi atapata elimu ambayo kabla hakuwanayo:
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Nelson...
Hii ndiyo elimu ambayo huijui unaniuliza.

Huu ndiyo mchango wangu kwa jamii yangu, nchi yangu na ulimwengu katika kusomesha elimu mpya.

Hilo kamusi utalikuta katika maktaba naweza kusema ya kila Chuo Kikuu duniani.
Huyu mzee anahusudu uongo na historia zake zote kachomeka uongo 60% tulishamsema sana akawa anasepa ila haachi kulazimisha uongo wake... TBC zipo audio za viongozi wanazungumza kwa sauti za midomo yao haziendani kabisa na maandishi ya vitabu vyake.. hana tofauti na mwandishi wa Quran Hafsi muongo japo Quran yake ilikubaliwa na ndio wanayoitumia lakini hadithi za Hafsi zimepigwa chini na waislam.. huyu nae ni same kama Hafsi.. mzee wa According to according to according to according to Mohammad according no Jibril according to Allah hahahaha
 
Hata Mtume wenu Muhammad alipoingiwa na Iblis kiti akasema Shetani alimuongoza kwa Mazuri tu pekee na Aya surat Jinn mnaipenda na Mohammad akafanikiwa kumsilimisha Iblis so Iblis akawa Muslim akiswali Msikitini.. lakini cha kushangaza bado mnamshutumu Iblis muislam mwenzenu na nyumba yake pale Mecca mnaitupia mawe yeye akiwemo ndani siku za Hija.. mnamatatizo gani waislam. iblis ni ndugu yenu wa Imaan
 
Ndiyo mafundisho ya Roho Mtakatifu wako hayo?
 
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Israeli wako vizuri sana, hata hapa kwetu ndio waliotusaidia na kuanzisha JKT, wakati huo ilikuwa ukimaliza chuo au high school lazima upige JKT mwaka mmoja. Hii ilisaidia sana kujenga ukakamavu na uzalendo, na ukitoka JKT ulimudu kukabiliana na maisha yoyote utakayokutana nayo. Wanasiasa wetu wakaivuruga hiyo.
Waisrael wote hupitia jeshini kwa miaka miwili pindi unapofikia umri wa miaka 18.
Nina swali moja, kwanini Hitler alitaka kuwaangamiza wayahudi wasionekane katika uso wa dunia?
 
Msikilize huyu Rabbi wa kiyahudi anajibu swali lako

Hata Mtume wenu Muhammad alipoingiwa na Iblis kiti akasema Shetani alimuongoza kwa Mazuri tu pekee na Aya surat Jinn mnaipenda na Mohammad akafanikiwa kumsilimisha Iblis so Iblis akawa Muslim akiswali Msikitini.. lakini cha kushangaza bado mnamshutumu Iblis muislam mwenzenu na nyumba yake pale Mecca mnaitupia mawe yeye akiwemo ndani siku za Hija.. mnamatatizo gani waislam. iblis ni ndugu yenu wa Imaan

Yesu hakupewa ujumbe wa utume kwa ajili ya watu wote wa kabila zote. Bali yeye alikuwa Mtume kwa ajili ya wana wa Israeli tu.

Mwenyewe alijua mipaka ya utume wake. Kwahiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake, Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli. “Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe. Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu. Yeye amesema kwamba:

“Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake. Biblia inasema kwamba: “Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49.

7. Bwana Paulo ambaye ni mpinzani na mhalifu (anti Christ) wa Bwana Yesu, baada ya kuchukia alianza mahubiri nje ya Wasiraeli.

Biblia inasema kwamba: “Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na bila neno, aliwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo walipopingana naye na kumtukana Mungu, akakung'uta mavazi yake, akawaambia, damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu, mimi ni safi; tangu sasa ninakwenda kwa watu wa mataifa. (Matendo 18:5-6).

Baadhi ya Wakristo mnayo shauku ya kugonganisha aya za Biblia. wanasema kwamba Bwana Yesu aliagiza kwamba “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi.” (Mathayo 28:19).

1. Najibu kwamba aya hii inapinga maagizo yote ya Bwana Yesu yaliyotajwa juu. Kwahiyo haiwezi kuwa agizo la Yesu wala aya ya Injili.

2. Ya pili aya hii imeandikwa mwishoni mwa Injili ya Mathayo, na nitathibitisha baadaye kidogo kwamba aya za mwanzo na za mwisho za kila kitabu ni za kuongezwa baadaye. Aya zile siyo aya sahihi za Biblia.

3. Ya tatu katika aya 28:19 ya Mathayo neno mataifa limetumika kwa maana ya mataifa ya Israeli. Kama Biblia inavyosema kwamba: “Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. (Luka 2:1).

Kaisari Augusto alikuwa mtawala wa Roma tu. Hakuwa na mamlaka yoyote nje ya nchi yake juu ya ulimwengu.

Katika aya hii amri iliyotolewa kwa ajili ya ulimwengu na ya nchi ya Roma tu iliyokuwa chini ya utawala wa Kaisari wala siyo ulimwengu wote. Hivyo ndivyo inavyoeleweka kauli ya Bwana Yesu aliposema:

“Enendeni mkawafanye mataifa yote (ya Waisraeli) kuwa wanafunzi. (Mathayo 28:19).
 
Back
Top Bottom