IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Kuna huyo Jonathan Netanyahu alafu kuna mwamba anaitwa eli cohen alijipenyeza kwenye serikali ya Syria akijifanya mfanyabiashara na kuweka ukaribu na viongozi wa ulinzi mpka raisi wa Syria akataka kumteua kuwa waziri wa ulinzi

Mwaka 1965 akastukiwa na mkuu wa polisi baada ya kugundulika signal za simu akiwasiliana na mossad huko nchini israel hatimae anakamatwa na kunyongwa hadharani

Mchango wake unakumbukwa kwani alipokuwa syria alipanda miti kwenye mstari juu ya kambi zilizokuwa chini ya ardhi huko syria ambayo ilikuja kutumika kama ishara kwa wanajeshi wa israeli na kushinda vita ya mwaka 1967 iliyoitwa SIX DAYS WAR Iliyokuwa dhidi ya mataifa kadhaa ya kiarabu

Alikuwa fluent kwenye kiarabu na lugha nyingine kadhaa

Hapajawah kutokea spy kama huyu mossad ambaye aliivua nguo serikali ya syria

Kuna movie inaitwa THE SPY imebase kwenye true story inaweza kukupa mwanga wa huyu mwamba na mkewe bado yupo hai japo kazeeka na bado anafuatilia kurudishiwa mwili wa mumewe kutoka syria jambo ambalo bado ni gumu
 
Kila dini inaona Mungu wake wa kweli.
TURUDI KWENYE MADA YETU MZEE WANGU
Nelson...
Hakika.
Ndiyo sababu Allah katika Qur'an kawakataza Waislam kuingia katika migogoro mfano wa huu ninaowazindua ndugu zangu kwa kuwa wameghafilika.

Mimi kama nilivyokueleza siwezi kuingia katika mjadala ambao mtu anasheherekea mauaji ya kimbari.

Kalamu yangu mimi inafika mbali.
Wewe kalamu yako inaishia hapa.
 
Hakuna jeshi la ovyo Kama la Israel. Mwezi wa sita huu wanapiga wanawake na watoto huko Gaza.
Imagine Kama waarabu wa gaza (Hamas) wangejua na silaha walizonazo Israel unadhani pangekalika.? Imagine waarabu nao wangejua na chakula na maji na Israel isingesaidiwa na wamarekani na wahindi unadhani kungekua na kitu inaitwa Israel Leo hii?
 
Huyo bibi yetu mjahidina ila yupo nchi ya makafir Canada...!!!
Dunia now ni free nchi nyingi nje ya uislam.. acha aenjoy life. Raha ya waisam wapo kama na free visa nchi za kiislam wanakubalika hata akiwa na rangi tofauti japo arabuni atabaguliwa hata kama ni muslim... but nchi free pia anahaki zake anapata... labda alete ujahidina kutishia wengine practice za uislam halisi fanatic muslim. ila kama yupo for amani popote aishi kwa amani bila bughuza.. haitakiwi kumchukia hata kama anakuchukia pengine wamepotoka waoneshe maandiko yao kuwa hawapo sawa..

Muslim anamuamnini zaidi Christian zaidi ya Muislam mwenzie... even Mtume wao hali zilipokuwa mbaya alipata hifadhi kwa Christians huko Ethiopia and Christians sio watu wa visasi... me napenda watu wote ila wakianza maneno yao ya kashfa siwaachi kuwarekebisha.. kuna time niliacha kabisa ila social media wamejaa kututukana wakati sisi kila swali lina jibu and wao hawana majibu zaidi ya Taqiyya.
 
Kuna huyo Jonathan Netanyahu alafu kuna mwamba anaitwa eli cohen alijipenyeza kwenye serikali ya Syria akijifanya mfanyabiashara na kuweka ukaribu na viongozi wa ulinzi mpka raisi wa Syria akataka kumteua kuwa waziri wa ulinzi

Mwaka 1965 akastukiwa na mkuu wa polisi baada ya kugundulika signal za simu akiwasiliana na mossad huko nchini israel hatimae anakamatwa na kunyongwa hadharani

Mchango wake unakumbukwa kwani alipokuwa syria alipanda miti kwenye mstari juu ya kambi zilizokuwa chini ya ardhi huko syria ambayo ilikuja kutumika kama ishara kwa wanajeshi wa israeli na kushinda vita ya mwaka 1967 iliyoitwa SIX DAYS WAR Iliyokuwa dhidi ya mataifa kadhaa ya kiarabu

Alikuwa fluent kwenye kiarabu na lugha nyingine kadhaa

Hapajawah kutokea spy kama huyu mossad ambaye aliivua nguo serikali ya syria

Kuna movie inaitwa THE SPY imebase kwenye true story inaweza kukupa mwanga wa huyu mwamba na mkewe bado yupo hai japo kazeeka na bado anafuatilia kurudishiwa mwili wa mumewe kutoka syria jambo ambalo bado ni gumu
Yuko mwamba mwingine aliyekua Misri miaka ya 60 naye mfanyabiashara aliyejifanya mjerumani.
Mnakumbuka zile ndege zilizokua ziruke kwenda kuimaliza Israel toka Misri halafu zikaja zikachakazwa dakika chache kabla hazijapaa. Mwamba ndio alitoa Siri kwa MOSSAD.
Wamisri waligundua too late na wakamnyonga.
 
Nelson...
Hakika.
Ndiyo sababu Allah katika Qur'an kawakataza Waislam kuingia katika migogoro mfano wa huu ninaowazindua ndugu zangu kwa kuwa wameghafilika.

Mimi kama nilivyokueleza siwezi kuingia katika mjadala ambao mtu anasheherekea mauaji ya kimbari.

Kalamu yangu mimi inafika mbali.
Wewe kalamu yako inaishia hapa.
Kwanini hamwafundishi Waislam wa humu thread nyingi wanakashifu tu... mimi nimesoma Quran sababu ya majivuno yao na nilichoambulia hata mwanangu hawezi amini hii dini for logic ya kawaida... Ukija kwa Masheikh wenu wa Dawa waongo mno wana quote aya ukienda soma chapter unakuta wamechukua kipande kimoja au viwili.. waambieni waache wahubiri imani yenu misikitini na mikutano yenu...
 
HAKUNA KITU KILICHONICHEKESHA KAMA WANAJESHI WA MISRI MWAKA 1973...WALIPOONA WAMEFANIKIWA KUVUKA SUEZ NA KUVUNJA POST ZOTE ZA IDF NA KUCHUKUA MATEKA NA KUUA.
WAKAWA WANAOGOPA KUSONGA MBELE ZAIDI JANGWANI.....KWA KUA WALIJUA BILA MWAMVULI WA SAM,S HAWAWEZI KUISHINDA IDF......!!!
ILA SADAT AKALAZIMISHA WASONGE MBELE......KILICHOWAKUTA SIMULIZI ZAIDI ANAZO ARIEL SHARON ALIPOKUA MILE 6 KUTOKA CAIRO.
HUO NDIO UBORA WA IDF HATA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
 
Yuko mwamba mwingine aliyekua Misri miaka ya 60 naye mfanyabiashara aliyejifanya mjerumani.
Mnakumbuka zile ndege zilizokua ziruke kwenda kuimaliza Israel toka Misri halafu zikaja zikachakazwa dakika chache kabla hazijapaa. Mwamba ndio alitoa Siri kwa MOSSAD.
Wamisri waligundua too late na wakamnyonga.
Yeah....naikumbuka hii issues mkuu
 
Nelson...
Hakika.
Ndiyo sababu Allah katika Qur'an kawakataza Waislam kuingia katika migogoro mfano wa huu ninaowazindua ndugu zangu kwa kuwa wameghafilika.

Mimi kama nilivyokueleza siwezi kuingia katika mjadala ambao mtu anasheherekea mauaji ya kimbari.

Kalamu yangu mimi inafika mbali.
Wewe kalamu yako inaishia hapa.
Mzee ingekua waarabu ndio wameua wayahudi.....bila shaka najua ungefarijika.
Hata October 07 waarabu wa hamas walipoua na kubaka wanawake na watoto......natumani wewe na waislamu wengi duniani mlishangilia........!!!
Ila kibao kilipogeuka unasema mauaji ya kimbari.
Hapo mimi napata ukakasi na kauli zako.......!!!
NB: MIMI SIO MNAFIKI NI MUWAZI NA WALA SIEGEMEI UPANDE WOWOTE KATIKA HISTORIA......KALAMU YANGU IPO UPANDE WA TOFAUTI SANA NA WEWE.
 
Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!! Na alikuwa wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekuwa hospital ambapo Amin alimuua baadae!!! Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!

Na alikuwa anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!
Sema Waarabu wana roho za paka, case ya Egypt, Vita vya siku 6, Entebe raids na Golan heights wars ingetosha kuwafunza kuacha kabisa kuwachokoza Israel
 
Dunia now ni free nchi nyingi nje ya uislam.. acha aenjoy life. Raha ya waisam wapo kama na free visa nchi za kiislam wanakubalika hata akiwa na rangi tofauti japo arabuni atabaguliwa hata kama ni muslim... but nchi free pia anahaki zake anapata... labda alete ujahidina kutishia wengine practice za uislam halisi fanatic muslim. ila kama yupo for amani popote aishi kwa amani bila bughuza.. haitakiwi kumchukia hata kama anakuchukia pengine wamepotoka waoneshe maandiko yao kuwa hawapo sawa..

Muslim anamuamnini zaidi Christian zaidi ya Muislam mwenzie... even Mtume wao hali zilipokuwa mbaya alipata hifadhi kwa Christians huko Ethiopia and Christians sio watu wa visasi... me napenda watu wote ila wakianza maneno yao ya kashfa siwaachi kuwarekebisha.. kuna time niliacha kabisa ila social media wamejaa kututukana wakati sisi kila swali lina jibu and wao hawana majibu zaidi ya Taqiyya.
Upo sahii.....waislamu ukiwabana hoja....watakuambia hautakiwi kuhoji......ukihoji unauawa...!!!
Na wanawatisha waumini wao...ukihama dini tunakuua....wameweka sheria kabisa baadhi ya nchi za huko asia na afrika.
 
IDF ni bora mashariki ya kati tu pale...Semi-regional power.Kwa sasa inasumbua na makundi ya watu wals hata sio nchi (formidable).Warfare imebadilika sana miaka ya karibuni..unaweza kuwa superpower nchi ndogo tu ikakuweka chini..
Israel mpaka akutane na ngoma nzito ndo tutampima...mfano wazichape na Iran kavu kavu ndo tutajua
Na asipiwe msaada maana ninauhakika hilo la kuwakatia watu maji na chakula na mafuta halitawezakna kwenye sovereign state achana mbali na concentrate camp ya gaza
 
Mzee ingekua waarabu ndio wameua wayahudi.....bila shaka najua ungefarijika.
Hata October 07 waarabu wa hamas walipoua na kubaka wanawake na watoto......natumani wewe na waislamu wengi duniani mlishangilia........!!!
Ila kibao kilipogeuka unasema mauaji ya kimbari.
Hapo mimi napata ukakasi na kauli zako.......!!!
NB: MIMI SIO MNAFIKI NI MUWAZI NA WALA SIEGEMEI UPANDE WOWOTE KATIKA HISTORIA......KALAMU YANGU IPO UPANDE WA TOFAUTI SANA NA WEWE.
Nelson...
Itakubidi usome paper niliyotoa University of Ibadan 2006 ndipo utanielewa.

Kwa kujiandikia tu ilhali hunijui.
Matatizo.

Halikadhalika usome mhadhara niliofanya State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Kurasini Dar es Salaam.

Naamini unaona tofauti iliyopo baina yetu.
Kalamu yangu inafika mbali na kwingi.
 
Back
Top Bottom