democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
ccmlongolongo.com
Angalau roho yangu imetulia sasa !
Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.
geresha tu hili
Aliyekuwa diwani wa sinza salum mwakinginda pamoja na aliyekuwa mbunge wa ilala idd simba wamefikishwa mahakama ya kisutu hivi sasa kwa makosa ya ufisadi wa uda.
Bro naona umekomaa kifikra,bado nashindwa kuunganisha unachoandika hapa jamvini na unachokiamini kwenye mfumo wa magamba,anyway nakuombea uwe delivered na virus wa magamba teh!Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.
Hivi huyu Mtu Idd Simba watamuweza kweli??? zee jeuri lile..
Hv si ndo alikuwa Mzee Mkuu wa Dasalam siku Mkulu anaelezea sakata la madaktari?
Waarabu wa Pemba hawa, wanatuchezea shere tu.
Kwa Tanzania, kisichowezekana ndio kinawezekana na kinachowezekana hakiwezekani (angalau kwa sasa ndivyo ilivyo).Tz nchi ya ajabu sana, naamini siku akitokea mwenye akili timama tu na akaamuru sheria za Chini ziwepo tz,tutanyonga mpaka maiti zilizozikwa tu!
Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.
Wakati huo serikali ya magamba haitakuwepo, na bahati mbaya zaidi dingi huyo atakuwa amezeeka ile mbaya!Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.