mkuu we are talking of the future! kuwa after some few years to come utasikia jamaa ameshinda na inabidi alipwe fidia.sawa?Hata mimi nashindwa kuelewa kinachoongelewa ni nini.
mkuu we are talking of the future! kuwa after some few years to come utasikia jamaa ameshinda na inabidi alipwe fidia.sawa?Hata mimi nashindwa kuelewa kinachoongelewa ni nini.
sarakasi zimeanza.
Kama angalau wanafikishwa mahakamani hayo ni mabadiliko tayari, sidhani kama kuna mtu anayependa kupanda kizimbani!
Sasa mbona mnatuchanganya,
Amefikishwa leo na leo leo ameshinda tayari?
Hebu wekeni sawa hii habari
Faili lake halikupitia ofisi ya Hosea mpaka ashitakiwe? Maana ile ni ofisi maalumu ya kutakatisha mafisadi na ufisadi wao.
Gharama ya kesi ni milioni 800
ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa
kumuomba radhi.
PRIDE? Huyu mtu ana pesa lkn anatembelea Range Rover ya 1994 khaaa amuige Hasheem vogue na Hammer!
Idd Simba amepandishwa Kizimbani kuhusiana na sakata la UDA kwa kusababishia serikali hasara....details zaidi badae
Huyo Iddi Simba hayo makaratee tu sitegemei chochote muhimu, yangu macho.
Watainia ma high priced lawyers hapo na ku redefine what is is.
Hivi kuna wakonongo wanaendesha Hummer mpaka leo?
Pia arudishe hela yangu ya hisa za NICOL.