Hamna kitu hapo zaidi ya *****, eti wanasuka ushahidi! Ushahidii?, wahusuka wa kufanya ivo walishindwa toka zamaniii, sa iv kunani chakuwafanya waweze? Geresha tupu!Kaka, habari kutoka ndani zinadai kuwa hii kesi itawakumba watu wengi sana Dar es Salaam na siyo Mzee Simba pekee, hii kesi itawaumiza wengi, ilikuwa ifikishwe mahakamani since last year, lakini waliamua kusubiri wakati muafaka na kusuka ushahidi wote, bado kuna wengi watapanda kizimbani, Mkuu amesisitiza enough is enough wapande kizimbani na sheria iachwe ichukue mkondo wake sawasawa, baadhi watazeeka vibaya, stay tuned!