Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visivyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze.
Na mimi nawafahamu jama kama watatu wa familia moja wote ni form4 failure yaani big zero NDIYO HUWAGA wanaandama na babamwanaashasifa ya kuwa usalama wa taifa ni kuwa na shule ndogo nina jamaa kibao walifeli na ndo usalama wa taifa la tanganyika.hamna jipya ninyi ni mbwa tu wa kamata kamata
Kweli kabisa hata paka wangu hapa nyumbani anatikisa kichwa kuwa alijua watakakataa,lakini wakatae pia kuwa yule aliyekuwa anawasiliana na Dr.Uli sio mfanyakazi wao mbona Mwanahalisi la juzi limeanika kila kitu!!kama Zee la kulia( aka)zee la LIWALO NA LIWE alikanusha,dhaifu nae alikanusha sembuse nyie TISS??wanajulikana ni sawa na polisi hamna tofauti kwani naamini huwa hawaishikishi akili katika kufikiri.Wangekubali hata mimi ningeshangaa maana hata wanyama walijua kuwa watalipinga hili........ Hii ndio bongo akili kichwani
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visivyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze.
wamekana taarifa iliyoandikwa na mwanahalisi juu ya ushiriki wa TISS ktk kumteka na hatimaye kumtesa DR. Ulimboka
source;chanel 10
Dhambi imeanza kuwala,watuambie ramadhani ni mfanyakazi wao??usalama ni wapuuzi wanatufanya sisi ndege au watoto.ole wenu kwa Mungu msio na huruma ninyi.hawawezi kukubali hata siku moja.
Sasa mbona wanajitetea ? wewe ndio wamekutuma uje ufute hiyo habari kwenye vichwa vyetu umechelewa ndugu yetu Jack zokaKubenea anatupatia sana watanzania na gazeti lake. Ila ni ukweli usiyopingika kuwa hana uwezo wa kupangilia uongo wake. Mara anakuja na habari ya uhakika kuhusu afisa wa Polisi kuwa ndiye aliyemteka Ulimboka mara aje na jina Rama. Angalia hata kwenye taarifa yake anasema Rama alikuwa anasisitiza kuwa Ulimboka atamke kama alitumwa na CDM wakati huo huo anasema taarifa toka ndani ya TISS ni kwamba chombo hicho kinaamini Ulimboka alitumwa na CDM. Unaona Kubenea anavyojaribu kuupotosha Umma wa Watanzania kuwa TISS wanaamini kuwa Ulimboka alitumiwa na CDM katika sakata la Mgomo kwa kumtaka Rama kuwa alikuwa akisisitiza hilo. Kwa akili ya haraka haraka najiuliza swali hili, "TAMKA KAMA CDM WALIKUTUMA" hiyo sentensi Mwanalalisi waiipata kutoka kwa nani? Ulimboka mwenyewe au mtumishi kutoka dara hiyo ya Usalama wa Taifa?
Mbona kama kueleweki?!kwa taarifa yako tu Wananchi wana imani na MWANAHALISI na kubenea kuliko hata TISS,DHAIFU,LIWALO NA LIWE na CCM.huu ujumbe wapelekee wenzakoKubenea anatupatia sana watanzania na gazeti lake. Ila ni ukweli usiyopingika kuwa hana uwezo wa kupangilia uongo wake. Mara anakuja na habari ya uhakika kuhusu afisa wa Polisi kuwa ndiye aliyemteka Ulimboka mara aje na jina Rama. Angalia hata kwenye taarifa yake anasema Rama alikuwa anasisitiza kuwa Ulimboka atamke kama alitumwa na CDM wakati huo huo anasema taarifa toka ndani ya TISS ni kwamba chombo hicho kinaamini Ulimboka alitumwa na CDM. Unaona Kubenea anavyojaribu kuupotosha Umma wa Watanzania kuwa TISS wanaamini kuwa Ulimboka alitumiwa na CDM katika sakata la Mgomo kwa kumtaka Rama kuwa alikuwa akisisitiza hilo. Kwa akili ya haraka haraka najiuliza swali hili, "TAMKA KAMA CDM WALIKUTUMA" hiyo sentensi Mwanalalisi waiipata kutoka kwa nani? Ulimboka mwenyewe au mtumishi kutoka dara hiyo ya Usalama wa Taifa?
gazeti la mwanahalisi wako sahihi sana. huku ndani kuna mvutano mkubwa sana unaendelea juu ya nini kifanyike baada ya makala ile ya mwanahalisi.
Wamhoji kwanza Zoka na Msangi then waje na makanusho yao!! Vinginevyo.......!!!