Kwani kukanusha tuu ndio kunaweka facts hadharani??
Haya kama ni hivi na sie watanzania tunakanusha basi taarifa ya Usalama wa Taifa kutohusika, kwa hio what is the final stand??
Mie nina suggestion moja kuwa kikao kijacho cha bunge kisiwe na swala jingine la kujadili zichambuliwe report zote zilizoundiwa tume kuanzia 3yrs ago!! Then agenda ya mwisho iwe Analysis ya value for Money katika kuunda tume kwa matukio yanayotokea Tanzania, kama vipi iundwe Organ kama Sumatra, Ewura iwe ni maalamu kwa kuchunguza matukio ya Ki-Tanzania kama Migomo ya madaktari, utekaji, migomo ya waalimu,mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, ili tu apply kwa vigezo.... Pesa za walipa kodi jamani!!!!!