Tetesi: GE2025 Idara imefuta Mfumo wa Chawa siasani

Tetesi: GE2025 Idara imefuta Mfumo wa Chawa siasani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HIVI vinatupanga vinazani SI watoto mate yameniga koo
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Vyombo hivi hivi tunaosukumana kila weekend kwenye vitu vya baa na kwa dada poa?
 
Hakuna idara Tanzania ni genge la makada tu, walitakiwa waanze na Samia...

Ulafi wa madaraka ni balaa—unakalia kiti kama mtoto anavyong’ang’ania chupa ya maziwa, bila maarifa wala kipaji. Mbaya zaidi, unaziba masikio kama aliyemeza pamba. Watu wanakuambia, ‘Bwana, mambo haya yamekuzidi,’ lakini wewe bado unajifanya kiongozi. Embu sepa.

View attachment 3411103
🤣🤣
 
Mfumo uko juu ya katiba?

Katiba inasema wajue kusoma na kuandika, sasa mfumo unataka nini tena?

Kama mfumo ungekuwa serious ungekomaa na mabadiliko ya katiba!
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Angalau heshima itakuwepo kama ni kweli!
 
Hiyo "Deep State" itasifiwa na kila muungwana kama hayo mabadiliko wanayotaka yawe imposed yatakuwa embroidered ndani ya katiba mpya...

Wawalazimishe wanasiasa kuukwamua mchakato wa katiba mpya uliozimika mwaka 2014 haraka na yale mapendekezo ya Askofu Gwajima kulinda baadhi ya taasisi kutoingiliwa na wanasiasa yaingie ndani ya Katiba...

Kama wakikataa, mimi napendekeza, piga serikali ya CCM yote chini na Jeshi lichukue nchi...!!
 
Mwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna

Bado hakuna rangi mtaacha kuona

The state.!
Kweli Mkuu, unakuwa na kiongozi ambaye hata ukitoka nje ya nchi unaona aibu kusema fulani ndiye kiongozi wangu!
Kwa kweli hii haikubaliki.
Vyombo fanyeni namna tuwe na viongozi bora na siyo bora viongozi.
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼

View: https://www.threads.com/@leonardsoza/post/DMR5P_utIB0?xmt=AQF0p1ElZGEEAT5jwSOE1rdehbsXgxH3Opr3SPlfIN3Aqg
 
Ningekuwa Maza ningeagiza Lissu atolewe Magereza haraka......atamchafulia zaidi
 
TISS fanyeni yenu, toeni hao kina Musukuma, kina Kishimba na wenzao wote darasa la 7. Labda Elimu itaanza kuheshimiwa tena nchi hii.
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Idara ipi? Hii ambayo ina teka, kutesa na kua watu? Labda ishuke nyingine toka mbinguni. [Sifa za kuwa mbunge TZ)
UJUE KK
Uwe chawa
Ujue kusifu na kuabudu ( unapinga wee kisha unaunga mkono hoja)
Ndiyoooooi
 
Back
Top Bottom