Mwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!
Mlituangusha sana hadi wapuuzi wa CCM wakawapanda kichwani.Mwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!
Wangekuwa kweli wanajua kufanya vetting, huyo Mama hakustahili wala jiwe na pacemaker yake pia hakustahili.Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Walete reforms waache ungeseKuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Kuharibika kwa taifa letu sababu chawa na uchawa.Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Kabisa mkuu kina makonda mrisho gambo na madc wengi pia hata wabunge ni takataka wengi hasa wa CCMWangekuwa kweli wanajua kufanya vetting, huyo Mama hakustahili wala jiwe na pacemaker yake pia hakustahili.
Kwenye huu uzi ole wake mtu amtolee mfano babu tale
Ndo ushatoaKwenye huu uzi ole wake mtu amtolee mfano babu tale
Hamna kuna Uganda aisee hawa wetu wakachukue KoziBongo uchawa huko damuni kuna machawa kama kuzidi hao Phd na masters nchi hii ???
Bora msukuma anajua kupangilia hoja pamoja na mwenzie kishimba....yani hao jamaa wangefika chuo wangekua msaada mkubwa sana pale bungeniMsukuma
Alikuwa anaona nchi ya kwake! Alijidanganya kuwa hakuna wa kumtikisaSamia alikosea sana kumnanga mpinga live stageni
Hakuna idara Tanzania ni genge la makada tu, walitakiwa waanze na Samia...Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Hata manyaunyau ni Dr.Msukuma ni Dr.
Jitahidi kutafuta taarifa
Na iwe hivyoKuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
🤣🤣🤣Kwenye huu uzi ole wake mtu amtolee mfano babu tale