version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,048
- 2,441
GSO ni watu kada gani?ni TISS na GSO hawahawa wanaofanyaga hizi vetting au wengine tunaowajua? hawana taarifa zozote sasa vetting gani wanafanya?
Ulikuwa unauliziwa mkuu upo? Kuna threat humu!Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Wew unaona ni post ya tarehe ngapi mwaka ganiUlikuwa unauliziwa mkuu upo? Kuna threat humu!
UnaaminiMwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!
Unaamini Ujinga kirahisi sanaMwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!
Mbona unajibu Wewe!Wew unaona ni post ya tarehe ngapi mwaka gani
Acha kuamini huo Ujinga nakusihi tafadhaliMlituangusha sana hadi wapuuzi wa CCM wakawapanda kichwani.
Malizeni kwa kutupa Katiba Mpya. Nchi iendeshwe na mifumo tu sio hawa wajinga Wanasiasa.
Ulikuwa unauliziwa mkuu upo? Kuna threat humu!
Labda, yetu mimachoMwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!