Tetesi: GE2025 Idara imefuta Mfumo wa Chawa siasani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Vipi uraisi hakuna vetting?
 
The state!

Sasa ni rasmi Brother ndio anasimamia vetting au!!?wabunge wawe na masters!madiwani wawe na de
Wana-balance kuengua kwao isilete shida, moto mkali.
Tiss wenyewe ni chawa.sasa chawa atawezaje kuufuta uchawa?
Sio Tiss ni wale wale wanaangalia kama maagizo yalipitiliza na kuwaonea watu flan flan.
Isijeleta mlipuko. Hiv sasa kuna majina yanarudishwa yaliotolew
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Hili la KK si lipo kikanuni Mkuu!
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Kwann ubunge na udiwani pekee? Na urais je? Huyo Samia siyo chawa wa Msoga?
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Kenge wa viti maalum Zanzibar kafeli masomo yote kidato cha nne isipokuwa kiarabu.
Anyway Kibajaj, Musukuma,Babu Tale,Kenge na Jah People hawajui hata profit and loss report inasomwaje itakuwa bajeti!!
 
Tuwekee hoja na Jumanne Kishimba ambaye ni mbunge wa KK halafu na sisi tukuwekee hoja za PhD holders wa pale majengoni
 
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “

Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma

Labda ndio sababu

Niishie hapo 🐼
Safii
 
Back
Top Bottom