Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 894
- 1,332
Na aliyejipitisha afanyiwe vettingKuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
KATAA WAHUNI