Idadi ya wanawake yazidi kuongezeka nchini

Idadi ya wanawake yazidi kuongezeka nchini

Na kati ya hao wanaume 21,869,990 wenye nguvu za kiume za asili tupo 875,000 pekee!!!!
the rest ongezea kwenye kundi la wanawake!!!!!
 
Duh serikal ichukue hatua wanawake waszaliwe tena maana hii ni shida.

Serikali pia ichukue hatua wanaume wasife maana hiyo sensa imehesabu wanawake wote in general sasa kuanzia 60years wengi ni wajane!
 
Tufanyeje sasa kama wote wanataka huduma ya mwanaume huyo huyo

na wanaume nao wanavozid kuisha sasa dah.. saiv kijana akivuka 35 haja rip kaponea chupuchupu teh teh ...TOO BAD!!!!
 
Tofauti yake ni kama 1,188,943. Uwiano wa mwanaume 1 kwa mwanamke 1.1. Tatizo ni kwamba hata wanaume wengi wanapakuliwa.
 
Wanaume wanaenda wapi? Sensa inasema kuwa kundi kubwa kabisa 50.1 ya watanzania ni kati ya miaka 0 na 17. Katika kundi hilo me ni 51.1% na ke ni 48.8%. Ikimaanisha kuwa hadi miaka 17 bado wanaume ni wengi.
Lakini kundi jingine kubwa la wenye umri wa kufanya kazi wametenga miaka 15 hadi 64 hali inabadilika.
Je kuna sababu za kuelezea hili jambo?
Wavulana wanasafiri mbali? Hawashiriki sensa? Wanakufa mapema?
 
Mama, huko unakoelekea siko kabisa. Isaya hskumaanisha mahusiano ya kawaida ya mme na mke. Hiyo ni lugha ya kinabii, na nabii muda mwingi walitoa mafunuo ya uhusiano utakavyokuwa kati ya Kristo na makanisa nyakati za mwisho. Kwa ufupi yapo makanisa yatajulikana kama ya Kristo lakini yakifanya mambo kivyake vyake.

This is quite true, you said it correctly.
 
poor data* wastani wa vifo? me/ke wastani wa vizazi me/ke? || *uzazi unapunguza/kuondoa maisha ya mama zetu kwa kasi ya ajabu(vifo vya uzazi)// the situation is very well balance through nature reasons
 
Ni kweli...yaani wanawake wa Tanzania wanaringa sana ukimchumbia anakuzungusha zungusha ila kama vile unakata tama ndo anaibuka!! loooooh


Umenikumbusha kuna rafiki yangu anaomba kwenda kujitambulisha ukweni huu mwezi wa 7 mwanamke anapiga danadana tuu,,,,,,dunia hii
 
ipangwe vizuri hiyo sensa wamesahau hiki...:
1.kuwaondoa masista ambao hawataki kuolewa
2.kuwaondoa mapadre ambao hawataki kuoa
3.kuwaondoa mapunga(wanaume mashoga) ambao wanajifananisha na wanawake
4.kuwaondoa wazee na vikongwe ambao wanajaza tu nafasi kwenye sensa

wakiwaondoa hao, walete hesabu tena tuone nani amezid ila kwa hv bado kuna utata!!!!
 
Umenikumbusha kuna rafiki yangu anaomba kwenda kujitambulisha ukweni huu mwezi wa 7 mwanamke anapiga danadana tuu,,,,,,dunia hii

Huyo binti anabahati kweli kuombwa na kidume kwenda kwao, wengine hapa tunaombwa na vibinti kutambulishwa kwao na tunatoa ahadi kila mwaka.
 
Huyo binti anabahati kweli kuombwa na kidume kwenda kwao, wengine hapa tunaombwa na vibinti kutambulishwa kwao na tunatoa ahadi kila mwaka.
Kazi ipo.
Huyo mwanamke anaekuomba uende kwao ni msichana kweli au hawa wa barabarani?
Kwa sie wadada sio lazima kuolewa na mtu yoyote. Ni muhimu kama mtu anajua maisha basi atafute mwanaume ambaye anaweza kwenda nae. Sio kila mwanaume anaweza kuwa na kila mwanamke. Tafuta size yako.
 
Lugha ya kinabii hiyoo...

Hii siyo ngeni hata Biblia ilishasema haya:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na mkurugenzi mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa.Idadi ya wanawake Tanzania Bara ni 23,058,933 na wanaume 21,869,990.Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3.

Alisema mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wengi ni Dar es Salaam ukiwa na watu milioni 4.3 pia ukifuatiwa na Mwanza wenye watu milioni 2.7.

Alisema watakuwa wakipita mkoa kwa mkoa kutoa matokeo hayo ya sensa kwa lengo la kumfikia kila mdau ili aweze kuzitumia takwimu kwa kupanga mipango yake binafsi.

SOSI: MWANANCHI

My take ndo maana wanaume wanaongoza kwa kuwa na michepuko ili kuwasitiri waliozidi hapo maana tukisema ratio iwe 1:1 wengine watakosa, ila sijahalalisha kwa wanaume kuwa na michepuko!

hizi data hapa kuna tatizo ktk namba "Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3."
 
Kazi ipo.
Huyo mwanamke anaekuomba uende kwao ni msichana kweli au hawa wa barabarani?
Kwa sie wadada sio lazima kuolewa na mtu yoyote. Ni muhimu kama mtu anajua maisha basi atafute mwanaume ambaye anaweza kwenda nae. Sio kila mwanaume anaweza kuwa na kila mwanamke. Tafuta size yako.

Kwa taarifa yako hakuna msichana wa barabarani watu wote wana makazi yao, pia utambue hakuna binadamu bora zaidi duniani kuliko mwingine kama eti unavyojiona wewe bora kuliko wadada wengine. pia haujui maisha yangu nawe sikufahamu na sihitaji kukufahamu sababu haina maana, hivyo tuheshimiane sababu sijakutaja hapa.
 
Back
Top Bottom