Idadi ya wanawake yazidi kuongezeka nchini

Hii siyo ngeni hata Biblia ilishasema haya:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hapo nimekukubali,kumbe uko mtaalamu wa maandiko.
 
Hapo tu ndo utakapojua kwanini mungu wa kweli alihalalisha mwanaume kuoa mke zaidi ya m1(Mwisho wanne)! Sasa madhara ya kupuuza ndo haya ya vilio kila siku hatimae kila kukicha above 30 wanaongezeka!

waliokuwa wanaweza wake zaidi ya mmoja ni wale wa zaman. hawa wa .com kila siku mwalalamika nguvu za kiume zinapungua ni shiiida
 
Hii siyo ngeni hata Biblia ilishasema haya:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mama, huko unakoelekea siko kabisa. Isaya hskumaanisha mahusiano ya kawaida ya mme na mke. Hiyo ni lugha ya kinabii, na nabii muda mwingi walitoa mafunuo ya uhusiano utakavyokuwa kati ya Kristo na makanisa nyakati za mwisho. Kwa ufupi yapo makanisa yatajulikana kama ya Kristo lakini yakifanya mambo kivyake vyake.
 
Umepata wapi ushujaa wa kupingana na maneno ya kwenye kitabu cha Biblia? soma jibu lako hapa;
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. [/TD]

ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu

sijaona takwimu ya Mabwabwa ! hao waoaji wengi wanapakuliwa
 
Ongezea na hili hapa:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]29[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]30[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mama, huko unakoelekea siko kabisa. Isaya hskumaanisha mahusiano ya kawaida ya mme na mke. Hiyo ni lugha ya kinabii, na nabii muda mwingi walitoa mafunuo ya uhusiano utakavyokuwa kati ya Kristo na makanisa nyakati za mwisho. Kwa ufupi yapo makanisa yatajulikana kama ya Kristo lakini yakifanya mambo kivyake vyake.
 
Duh serikal ichukue hatua wanawake waszaliwe tena maana hii ni shida.
 
Umepata wapi ushujaa wa kupingana na maneno ya kwenye kitabu cha Biblia? soma jibu lako hapa;
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sipingani na wala sina sababu ya kupingana na neno la MUNGU. Ninachoatavukifaham hapa ni kuwa unabii hautafsiriwa moja kwa moja kiasi hicho. Hata hivyo nabii walikuwepo ktk jamii kurejeza mahusiano ya wanadam na MUNGU. Hivyo yapo mambo mengi ambayo lugha iliyotumika si ya moja kwa moja kama ambavyi tungependa iwe.
 
Manabii walikuwa na uwezo wa kujuwa mambo yajayo;
Na ni kipi kigeni hapo kwani;
Ndoa ya kwanza ya kule kana ya galilaya YESU alialikwa na walipoishiwa mvinyo unajuwa ni nini YESU alifanya pale;

Ufafanuzi wa ndoa ni kwamba mtatulizana, mtazaa na mmoja atakaposhindwa kuamka mwenzie atamwamsha.

.....................

Sipingani na wala sina sababu ya kupingana na neno la MUNGU. Ninachoatavukifaham hapa ni kuwa unabii hautafsiriwa moja kwa moja kiasi hicho. Hata hivyo nabii walikuwepo ktk jamii kurejeza mahusiano ya wanadam na MUNGU. Hivyo yapo mambo mengi ambayo lugha iliyotumika si ya moja kwa moja kama ambavyi tungependa iwe.
 
Umepata wapi ushujaa wa kupingana na maneno ya kwenye kitabu cha Biblia? soma jibu lako hapa;
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Heby anzia hapo nyuma kidogo Isaya 3:24 hadi 4:4 halafu uniambie kama alikuwa akimaanisha mahusiano ya kawaida kati ya mme na mke.
 
Wanaume wachacheeee na bado kwenye wachache mashoga wengiii ni sheeda!!!
 
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu

kazi kwenu sasa.....
 
tumboo karudi tena,c alijiita kiziboo au?
Hakika hawa watu ni wengi jamani huh!!!!!!
 
tupo wengi ndio ila isiwe sababu ya kutupanga msululu
 
Hilo mimi sioni kama ni tatizo kwa wanawake shida kubwa ni kwamba hata hao mliowaweka kwenye idadi ya wanaume, wengine wanatekeleza majukumu ya kike! Ni kasheshe......
 
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na mkurugenzi mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa.Idadi ya wanawake Tanzania Bara ni 23,058,933 na wanaume 21,869,990.Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3.

Alisema mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wengi ni Dar es Salaam ukiwa na watu milioni 4.3 pia ukifuatiwa na Mwanza wenye watu milioni 2.7.

Alisema watakuwa wakipita mkoa kwa mkoa kutoa matokeo hayo ya sensa kwa lengo la kumfikia kila mdau ili aweze kuzitumia takwimu kwa kupanga mipango yake binafsi.

SOSI: MWANANCHI

My take ndo maana wanaume wanaongoza kwa kuwa na michepuko ili kuwasitiri waliozidi hapo maana tukisema ratio iwe 1:1 wengine watakosa, ila sijahalalisha kwa wanaume kuwa na michepuko!

Duuu! Hii ni hatari!
 
Back
Top Bottom