Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,838
- 26,244
- Thread starter
- #61
Dah! hapo idad ya wanawake itazidi mara tatu kwa wanaumeipangwe vizuri hiyo sensa wamesahau hiki...:
1.kuwaondoa masista ambao hawataki kuolewa
2.kuwaondoa mapadre ambao hawataki kuoa
3.kuwaondoa mapunga(wanaume mashoga) ambao wanajifananisha na wanawake
4.kuwaondoa wazee na vikongwe ambao wanajaza tu nafasi kwenye sensa
wakiwaondoa hao, walete hesabu tena tuone nani amezid ila kwa hv bado kuna utata!!!!