Idadi ya wanaume inazidi kupungua kwa kasi sana

Hizo data za kuonesha uwiano kati ya ya wanawake na wanaume zinapotoshwa.
Wanawake ni wengi kuliko wengi ila katika huu ulimwengu wa kumjali sana mwanamke na issue za aslimia pasu kwa pasu basi wanadanganya sana kuficha uhalisia.

Hii kitu mtaani ndio tunaona. Mfano nikiwa form four darasani tulikuwa 218
Ila wanaume tulikuwa 90.
Ukitaka kujua uwiano wa wanaume na wanawake ukiacha hospitali nenda kweny ubao wowote wa shule yoyote uone data kati ya wavulana na wasichana
 
Hii kitu mtaani ndio tunaona. Mfano nikiwa form four darasani tulikuwa 218
Ila wanaume tulikuwa 90.
Ukitaka kujua uwiano wa wanaume na wanawake ukiacha hospitali nenda kweny ubao wowote wa shule yoyote uone data kati ya wavulana na wasichana

Nakazia hapa, nakumbuka wakati nikiwa O level, idadi ya wavulana kwenye mkondo wetu wenye wanafunzi 90 tulikuwa 38 tu na wote tulipangwa nyuma ya darasa mistri mitatu tu!!
 
Hiyo idadi ya Wanaume waliopungua Minus Mashoga na Wale watumiaji Boosters kama Cialis, Vumbi la Kongo,sildenafil, yaani Wanaume Chips yai (Wanaume wa Dar)

Hapo idadi inazidi kupungua zaidi na zaidi.
 
Sasa kama wanaume wenyewe ndio kama wewe umelegea yaani nyoronyoro hivi unategemea nini? Eti "Jilani! ? Hebu kaza sauti aisee
 
sasa wee ulitaka wanaume wawe wengi kuliko wanawake ili iweje.

watu wangekosa wa kuwaoa siwangeanza kufumuana marinda wao kwa wao na ndo hasara ya kuwa na wanaume wengi kuliko wanawake.
 
Nivizuri kufuatilia wakati wa sherehe za madhehebu ya dini huwa wanatoa takwimu mf, mwananyamala hospital, muhimbili hospital,Amana hospital nk. Utagundua wanawake ni wengi. Wanaume 11 wanawake 7 hali huwa namna hiyo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mungu aliwaambia wengine waoe wake wanne,, ndio Mungu huyo huyo aliyewakataza wengine kuoa zaidi ya Mmoja...

Mkuu ushauri wako unawagusa wapi haswa...??
 
Mungu aliwaambia wengine waoe wake wanne,, ndio Mungu huyo huyo aliyewakataza wengine kuoa zaidi ya Mmoja...

Mkuu ushauri wako unawagusa wapi haswa...??
Leta kifungu hapa Cha biblia ambacho kinakataza kuoa wake wengi
 
Hivi wewe umeoa wanawake wangapi kwa kuanzia?
Dah! Mkuu, issue ya kuoa niwaachie wengine! Maake wanawake wa kizazi hiki sio wa kuaminika kabisa! Drama nyingi! Kuna Mdada hapa mtaani alifunga ndoa, kesho yake nikamuomba mbususu nikachakata, ila aliwahi kuwa mpenzi wangu kipindi cha nyuma!

Acha wengine tuendelee kuchakata mbususu za vibinti na wake za watu!
 
Habari wanajamvi,
Baada ya kupekenyua kwenye vyanzo vya habari na tovuti mbalimbali google, nimebaini kuwa idadi ya wanaume umepingua zaidi! Nikiwa na maana kuwa wanawake ni wengi zaidi kulinganisha na wanaume! Tena kwa nafasi kubwa hasa!

Tukiangazia watu wenye umri kati ya miaka 16 na 40, uwiano uliopo ni mwanaume mmoja kwa wanawake sita! Ikumbukwe kuwa, hata kwenye mzunguko wa hedhi wa mwanamke mwenye mzunguko timamu, ni siku moja tu ya 14 ya kumpata mtoto wa kiume, kuna siku tatu hadi nne za mtoto wa kike! Labda hii inaweza kuwa chanzo!

Mahali ambapo ninaishi, nimefanya utafiti kuzunguka haka kamtaa ili kuthibitisha hili! Nimekuja kigundua kuwa vijana umri kati ya miaka 16 na 30 ambao hawajaoa hama kuolewa ni wanawake 56 kwa wanaume 21

Nakumbuka mwezi ulioisha tulikwenda zahanati kukatazama kachanga ka jilani yetu! Tulipojaribu kuuliza akina mama wengine waliokuwemo mle walisema wamejifungua watoto wa kike kwa kiwango kikubwa! Hata huyu mama tuliekwenda kumuona naye aliambulia katoto ka kike!

Hata sie wanaume tulioko mitaani, tunaohuishi uanaume ni wachache sana! Kwenye wanaume kumi, utakutana na wanaume watatu tu ambao hawajawahi kutangaziwa kutokuwa na upungufu wa nguvu za kiume na wapenzi wao!

Na hata kwetu sie tuliobaki kuuhishi uanaume, wengi wetu ni wale wenye maamuzi na mawazo changamano! Mfano mtu anakuja jamii forum anaandika uzi wa "Kuna dada ananipenda sana ila sijui nifanyeje". Hapo unapata idadi ya wanaume kushuka zaidi na zaidi!

Shida inakuja kwenye issue ya kuoa! Tukisema eti kila mwanaume aoe mwanamke mmoja, hao wengine wataolewa na nani?

Hivyo basi,
Wanaume tujifunze kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ili na wanawake wengine wapate pa kuegemea Tuache kuwachakata mbususu na kuachana nao tu!
Shida yao wanachagua sana wanataka Dark,tall,handsome
 
Hata huyu mama tuliekwenda kumuona naye aliambulia katoto ka kike!
Kuambulia!!!?

Shukuru Mungu, kama wakizaliwa wanaume watupu unadhani mwisho wa siku wanaume wataanza kushika mimba na kuzaa!!!?
 
Back
Top Bottom