Idadi ya wanaume inazidi kupungua kwa kasi sana

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Habari wanajamvi,

Baada ya kupekenyua kwenye vyanzo vya habari na tovuti mbalimbali google, nimebaini kuwa idadi ya wanaume umepingua zaidi! Nikiwa na maana kuwa wanawake ni wengi zaidi kulinganisha na wanaume! Tena kwa nafasi kubwa hasa!

Tukiangazia watu wenye umri kati ya miaka 16 na 40, uwiano uliopo ni mwanaume mmoja kwa wanawake sita! Ikumbukwe kuwa, hata kwenye mzunguko wa hedhi wa mwanamke mwenye mzunguko timamu, ni siku moja tu ya 14 ya kumpata mtoto wa kiume, kuna siku tatu hadi nne za mtoto wa kike! Labda hii inaweza kuwa chanzo!

Mahali ambapo ninaishi, nimefanya utafiti kuzunguka haka kamtaa ili kuthibitisha hili! Nimekuja kigundua kuwa vijana umri kati ya miaka 16 na 30 ambao hawajaoa hama kuolewa ni wanawake 56 kwa wanaume 21

Nakumbuka mwezi ulioisha tulikwenda zahanati kukatazama kachanga ka jilani yetu! Tulipojaribu kuuliza akina mama wengine waliokuwemo mle walisema wamejifungua watoto wa kike kwa kiwango kikubwa! Hata huyu mama tuliekwenda kumuona naye aliambulia katoto ka kike!

Hata sie wanaume tulioko mitaani, tunaohuishi uanaume ni wachache sana! Kwenye wanaume kumi, utakutana na wanaume watatu tu ambao hawajawahi kutangaziwa kutokuwa na upungufu wa nguvu za kiume na wapenzi wao!

Na hata kwetu sie tuliobaki kuuhishi uanaume, wengi wetu ni wale wenye maamuzi na mawazo changamano! Mfano mtu anakuja jamii forum anaandika uzi wa "Kuna dada ananipenda sana ila sijui nifanyeje". Hapo unapata idadi ya wanaume kushuka zaidi na zaidi!

Shida inakuja kwenye issue ya kuoa! Tukisema eti kila mwanaume aoe mwanamke mmoja, hao wengine wataolewa na nani?

Hivyo basi,
Wanaume tujifunze kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ili na wanawake wengine wapate pa kuegemea Tuache kuwachakata mbususu na kuachana nao tu!
 
Kama Kula juu yake hata.5 poa mkuu
emoji7.png
emoji8.png
 
Japo sina hakika kama hizo takeimu kama zipo sahihi, ila nakazia hapo kwenye conclusion.
 
Shida inakuja kwenye issue ya kuoa! Tukisema eti kila mwanaume aoe mwanamke mmoja, hao wengine wataolewa na nani?

Hivyo basi,
Wanaume tujifunze kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ili na wanawake wengine wapate pa kuegemea Tuache kuwachakata mbususu na kuachana nao tu!
 
Back
Top Bottom