Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Last edited by a moderator:
kuhusu Zenji kuna majimbo 14 Nec hawajayatangaza .kumbuka Zec ndio wakala wa Nec . Mpaka Zec wanafuta Uchaguzi Zanzibar hayo majimbo 14 walikuwa hawajayatangaza ambayo Unguja ni Majimbo 4 na Pemba 10. kwahiyo mpaka hapo Cuf wana faida ya kuja kuongeza majimbo mengine 10 ya pemba. ukiongeza na Majimbo 26 waliyonayo mpaka sasa wanaweza kufikia majimbo 36. kumbuka Chadema wana majimbo 35 .kazi kweli kweli.
 
cuf wameshasema wao wameshinda kama cuf sio ukawa chadema 34 cuf 26 mbatia 1 act 1

Ongeza na jimbo la Kwela (S'wanga V) ambapo Ndg. Naftali Daniel Ngogo (Chadema) ameshinda leo baada ya uchaguzi kufanyika kata ya Milepa.
Usisahau Arusha Mjini Chadema wana zaidi ya 80% ya kushinda
 
mimi ni mbara wa kusini nyanda za juu naombe kuuliza hivi wachagga wana matatizo gani hapa Tanzania ? kwani naona post nyingi humu kama zinawasema vibaya vile
nataka kujua kwani binafsi hawanitenda kabisa so niwe conscious wasije wakanitenda kama walivyowatenda ninyi
nafanya nao kazi sijaona tatizo lao ila kuna makabila nafanya nao kazi duuuu kibaya Zaidi wengine mie ndo nimewafundisha kazi
nnacho fahamu kuhusu chagga is they are successful wenye elimu na wasio na elimu


Wamewahi kujua kipi ni kizuri na kipi kibaya... Wanajua kujiongeza, awasubiriii bali wanajua namna ya kutafuta....kwa kifupi mabadiliko yameanzia kaskazini.... Ndo mana wavivu wa kufikiri na walozoea kusifia na kujikomba ili wapate awachangamani nao.....kwasababu wanapenda kutafuniwa, awataki kuumiza akili.....ndo kosa lao kubwa
 
Maana yake kirahisi ni hivi kama 2010 CDM kilipata wabunge wa kuchaguliwa 25 wakapata wabunge viti maalumu 20 tukifanya hesabu huenda CDM ikiwa na viti maalumu zaidi 25

2010 chadema walikuwa na viti 23 tu.
1. arusha mjini
2. arumeru mash
3. hai
4. moshi mjini
5. rombo
6. ubungo
7. kawe
8. iringa mjin
9. mbeya mjini
10. mbozi kwa silinde
11. mpanda mjini said arfi
12. singida mashariki
13. mbulu akonaay
14. meatu
15. maswa mash
16. maswa magh
17. nyamagana
18.ilemela
19. ukerewe
20. musoma mjini
21. bukombe
22. biharamulo
23. kigoma kaskazini

uchaguzi huu wamepoteza majimbo 11. na kupata mapya 23 mpaka sasa .
 
japo nasikia mpaka dk hii kwera nalo wamechukua na kufanya mapya kuwa 24
 
Mbona tunachanyana wngn cdm 35 ww 34 tushike lipi

ukitoa ya kwera. chadema 35, cuf bara 10 maana zenji wamefuta, nccr 1 na act 1. kama kwera wamechukua wanafikisha 36 huku wakiwa na uhakika jimbo la arusha kulibeba.
 
2010 chadema walikuwa na viti 23 tu.
1. arusha mjini
2. arumeru mash
3. hai
4. moshi mjini
5. rombo
6. ubungo
7. kawe
8. iringa mjin
9. mbeya mjini
10. mbozi kwa silinde
11. mpanda mjini said arfi
12. singida mashariki
13. mbulu akonaay
14. meatu
15. maswa mash
16. maswa magh
17. nyamagana
18.ilemela
19. ukerewe
20. musoma mjini
21. bukombe
22. biharamulo
23. kigoma kaskazini

uchaguzi huu wamepoteza majimbo 11. na kupata mapya 23 mpaka sasa .

Ina maana 2010 walikuwa 23 tu? Mbona niliwaona mjengoni nikahisi wapo 230 hivi? Ama kweli makamanda wanatisha.Bunge hili linatisha zaidi kwani kamanda 1 ni zaidi sana ya magamba 10.Msilale makamanda mkawatete watanzania na zaidi sana katiba mpya.Msipoteze muda na wale mavuvuzela wataalamu wa matusi, wasiwaharibie mudi mtakavyokuwa mnatetea hoja za watanzania.Hongera kwa ushindi,nawatakia heri na baraka katika harakati zetu za ukombozi.
 
Jamani zenji uchaguzi si umefutwa? Naomba kaelimu kidogo kuhusu mnavyojumuisha viti vya ubunge vya huko
Huku zenji ngoma mbichi kabisa hamna cha kufutwa wala nini soon Maalim anaingi Ikulu CCM chali! kutokea huku ndio tutawapa kenyekenye CCm bara mpaka na wao watoke balu!
 
Lizaboni na wenzako, hivi kuwabagua watu kwa makabila yao maana yake nini? mnaeneza sumu mbaya sana katika jamii dhidi ya watu fulani, hii ni dhambi kubwa sana mnafanya. inaelekea kuna siku wachagga watawindwa kama wanyama wauwawe.

Huko sio kuwabagua, hiyo ni INFERIORITY COMPLEXITIES, ukiangalia wanakotoka wachaga kupo well advanced relatively hivyo badala ya watanzania wengine hasa wa Pwani kujifunza kutoka kwao wanawaonea wivu na kuwachukia.

Hata miji kama Dar na mingineyo ambayo imejaa uchafu mpaka inanuka ina mengi ya kujifunza kutoka Moshi lakini wamegoma, wamebaki kama walivyo.
 
Huku zenji ngoma mbichi kabisa hamna cha kufutwa wala nini soon Maalim anaingi Ikulu CCM chali! kutokea huku ndio tutawapa kenyekenye CCm bara mpaka na wao watoke balu!

Kura za Zanzibar yote ni sawa na kura za jimbo la Temeke.Hazina impact yoyote.Hata hivyo Dr,anaenda kurejesha katiba ya Warioba baada ya mıaka 5.
 
Zenj huwa kuna wabunge na wawakilishi. Je hao 18 wote ni wabunge? Mwenye ujuzi zaidi atufahamishe

Jua kuwa wazenj wana piga kura ya mbunge wa jamuhuri, na muwakilishi wa baraza kwenye majimbo hayo hayo
 
Back
Top Bottom