Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,487
Reaction score
6,517
Habari za ukumbi huu

Wadau nilikuwa naomba mnijuze mwenye kujuwa idadi ya jumla ya Viti vya Ubunge CUF T.bara na Idadi ya jumla ya viti vya Ubunge Chadema T.bara tu hadi sasa tume ilipofikia kutaja matokeo. Pia NCCR Mageuzi wamepata vingapi

Naomba kuwasilisha.
 
Wachagga wako wangapi?

..........la mama ako!!!!. Acha ujinga wako wa kuleta ubaguzi wa kipuuzi. Kila siku Tanzania tunahubiri kuhusu kupinga chuki na ubaguzi pia kuendeleza amani, we unaendeleza ucenge.

Nitakutukana Kenge wee!
 
mimi ni mbara wa kusini nyanda za juu naombe kuuliza hivi wachagga wana matatizo gani hapa Tanzania ? kwani naona post nyingi humu kama zinawasema vibaya vile
nataka kujua kwani binafsi hawanitenda kabisa so niwe conscious wasije wakanitenda kama walivyowatenda ninyi
nafanya nao kazi sijaona tatizo lao ila kuna makabila nafanya nao kazi duuuu kibaya Zaidi wengine mie ndo nimewafundisha kazi
nnacho fahamu kuhusu chagga is they are successful wenye elimu na wasio na elimu

 
Ninachojua Pemba peke yake ni viti 18. bara viti 10. hapo unapata jumla 28 bado viti vya Unguja ambavyo wamepata viti visiopungua 5......
 
Back
Top Bottom