Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
Zenj huwa kuna wabunge na wawakilishi. Je hao 18 wote ni wabunge? Mwenye ujuzi zaidi atufahamishe
100% nipo sahihi
Pemba CUF wana viti 18 vya uwakilishi na 18 vya ubunge!CCM haijashinda hata kiti kimoja au cha uwakilishi au Ubunge Pemba
Kwa Unguja walikuwa wamepata viti 6 vya ubunge tayari na Majimbo 14 yalikuwa hayajatangaza bado matokeo.
Maalim anadai wana wawakikishi na wabunge 3 zaidi kutoka ktk hayo majimbo 14 yasiyo tangaza matokeo na NEC itayatangaza!Kwa maana hiyo itakuwa CUF Pemba wamepata 18 na Unguja wamepata 9