Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

"Ni nafuu Dr.Slaa kuwa ikulu kuliko Tundu Lissu kuwa Bungeni" Rais J.Kikwete

Kama Magufuli ameingia Ikulu basi kwa LISSU njia nyeupe! Maana hua sioni tofauti ya misimamo ya hawa wawili. Tofauti ni ufahamu wa sheria tu.
 
1.Tundu LISSU
2.Freeman Mbowe
3.James Mbatia
4.John Mnyika
5.John Heche
6.Mwita waitara
7.Saeed kubenea
8.Esther Bulaya
9.Halima Mdee
10.Esther Matiko
12.Davidi Silinde
13.Mchungaji Msigwa
14.Joshua Nassari
15.James Millya
16.Maftah- CUF
Figures zingine za chadema sizifahamu na za CUF nyingi pia bado ni mpya siwezi kuzisemea sana, Nime-outline niazozifaham ktk ulimwengu wa siasa za Tz! Japo nimeumia sana kwa Mtatiro kufanyiwa umafia wa kisiasa na mtu ambaye nia yake haikujulikana.

Hii list unaionaje Mdau wangu wa JF?

Acha upendeleo wew tutajie na wabunge wa ccm
 
Naona umesema ulikuwa unaomba ujuzwe idadi ya viti vya ubunge vya cuf,chadema,na nccr. Ulikuwa unaomba kwa hiyo kwa sasa huitaji tena kujuzwa au? Naona kiswahili na waswahili
 
Kuna watu wengi wanachuki binafsi na wachagga , hii ni wachagga tukokuwa wavivu katika kufanya kazi na biashara pia. Ni watu waliona MBELE miaka 50 iliyo pita. IPO siku taifa hili litagawanyika , ndani Tanganyika kutakuwa na jamhuri ya kaskazini (kilimanjaro, arusha, manyara, mara) na jamhuri ya wadanganyika.

cerengeti katika maisha yangu nilifundishwa hivi na baba yangu{RIP}
1.jifunze kutoka kwa wakubwa wako siku zote
2.jifunze kwa walio kuzidi elimu
3.jifunze kwa walio kuzidi pesa
4.jifunze kwa waliofanikiwa
sasa binafsi naona wengi wetu wana jelousy na wachagga,unajua mfano Nigerians pamoja na makando kando yao nchi za ulaya they are very successful lkn kwa ajiri ya kusubutu tu
 
wako kumi na tisa!
hivi mbona kitufe cha like sikioni?
Kimbley download Tapatalk application utakiona vyema na hutojuta kujiunga jf....uoni mimi nimekupa like bila shida?
 
Last edited by a moderator:
mtu aliyefilisika kichwani huongelea ukabila tu! utabakia kuwaongelea wachaga tu kwa sababu ndio upeo wako wa kufikiria ulipo fikia
 
mimi ni mbara wa kusini nyanda za juu naombe kuuliza hivi wachagga wana matatizo gani hapa Tanzania ? kwani naona post nyingi humu kama zinawasema vibaya vile
nataka kujua kwani binafsi hawanitenda kabisa so niwe conscious wasije wakanitenda kama walivyowatenda ninyi
nafanya nao kazi sijaona tatizo lao ila kuna makabila nafanya nao kazi duuuu kibaya Zaidi wengine mie ndo nimewafundisha kazi
nnacho fahamu kuhusu chagga is they are successful wenye elimu na wasio na elimu

Wanachukiwa kwa sababu ni moja wapo ya kabila la watanzania wanaojitahidi kufuta ujinga miongoni mwao.Na hakuna dhambi kubwa hapa nchini mwetu kama kutoka katika ujinga
 
Kitufe cha LIKE kiko wapi wajameni mana sikioni na kuna mtu anaitwa Mateka Lizaboni naona anaongea mambo ya kienyeji ya kikabila sijui huyu jamaa ni mchawi??? hivi kabila la mtu wewe linakuhusu nini?? unataka kuroga kabila wewe Lizaboni acha siasa za kizamani hizo, wachaga waachaga kila siku hayo mawazo finyu na upeo mdogo, ndio mana inatakiwa ELIMU ELIMU
 
1.Tundu LISSU
2.Freeman Mbowe
3.James Mbatia
4.John Mnyika
5.John Heche
6.Mwita waitara
7.Saeed kubenea
8.Esther Bulaya
9.Halima Mdee
10.Esther Matiko
12.Davidi Silinde
13.Mchungaji Msigwa
14.Joshua Nassari
15.James Millya
16.Maftah- CUF
Figures zingine za chadema sizifahamu na za CUF nyingi pia bado ni mpya siwezi kuzisemea sana, Nime-outline niazozifaham ktk ulimwengu wa siasa za Tz! Japo nimeumia sana kwa Mtatiro kufanyiwa umafia wa kisiasa na mtu ambaye nia yake haikujulikana.

Hii list unaionaje Mdau wangu wa JF?

Watashaa watawapeleka puta mpaka waombe poo.
 
Tutegemee hoja/miswada binafsi nyingi/mingi zaidi toka kwa
1. Zitto Kabwe
2. John Mnyika
3. Saed Kubenea

Wengine ni wapayukaji tu.....

Wewe una lako linalokukera si vinginevyo utaelewa tu.
 
Zitto bado kichwa anajua kujenga hoja
binafsi sikupenda huyu bwn apate make ccm watamutumia sasa kuvuruga wezake hasa wa ukawa............ndio maana unaona hata matokeo yake yalitangazwa mapema tu, kwa sababu ni mwezao. kafulila pamoja na kushinda wakapiga chini.
 
Back
Top Bottom