Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Idadi ya viti vya CUF na CHADEMA hadi sasa ni vingapi?

Kama uchaguzi wa Zanzibar utaendelea Bara viti10,Unguja9 na Pemba18 jumla 38
 
Asante sana Lizaboni! Kwa mtazamo wa haraka CUF imekuwa mnufaika mkubwa wa UKAWA kuliko CHADEMA! Nadhani kama sikosei 2010 CUF walikuwa na not greater than 2 seats!
Pamoja na Zenji. Bara wana viti 10. ( Lindi4, Mtwara2, Dar es Salaam 2, Tanga 1 na Tabora 1)
 
Wote nia yetu moja ni kulijenga taifa, sasa hv hakuna ukawa wala ccm, ni tz kwanza hureeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA34 CUF25 ACT1 na NCCR1

Kisiwa cha Pemba tu kuna viti 18 vya ubunge na vyote vimechukuliwa na CUF.
Kisiwa cha unguja CUF wamelamba viti 5 ambavyo ni:
1)Jimbo la malindi
2)Jimbo la kijini
3)Jimbo la bumbwini
4)Jimbo la nungwi
5)Jimbo la mwanakwerekwe.
Jumla majimbo 23 Zanzibar tu. Plus na haya kumi huku bara(Tanganyika) itakuwa 33.
 
kisiwa cha pemba tu kuna viti 18 vya ubunge na vyote vimechukuliwa na cuf.
Kisiwa cha unguja cuf wamelamba viti 5 ambavyo ni:
1)jimbo la malindi
2)jimbo la kijini
3)jimbo la bumbwini
4)jimbo la nungwi
5)jimbo la mwanakwerekwe.
Jumla majimbo 23 zanzibar tu. Plus na haya kumi huku bara(tanganyika) itakuwa 33.

mara watu waseme viti 35-cuf wengine waseme viti 33..hivyohivyo chadema. Je source iko wapi ili tujiridhishe
 
Mawimbi ni makali sana hadi nanga inashindwa kukita chini ya bahari,wimbi likipiga mbele hadi mapanga ya nyuma yanakata upepo,hali ni mbaya tuombe msaada chombo kivutwe kurudi gatini haraka manahodha wote wapigwe chini.
 
Kisiwa cha Pemba tu kuna viti 18 vya ubunge na vyote vimechukuliwa na CUF.
Kisiwa cha unguja CUF wamelamba viti 5 ambavyo ni:
1)Jimbo la malindi
2)Jimbo la kijini
3)Jimbo la bumbwini
4)Jimbo la nungwi
5)Jimbo la mwanakwerekwe.
Jumla majimbo 23 Zanzibar tu. Plus na haya kumi huku bara(Tanganyika) itakuwa 33.

salim mwalimu hajaambulia kitu huko pemba?
 
Jamani zenji uchaguzi si umefutwa? Naomba kaelimu kidogo kuhusu mnavyojumuisha viti vya ubunge vya huko

Uliofutwa ni ule unaosimamiwa na tume ya uchaguzi zanzibar-ZEC, yakiwemo majimbo 54 ya uwakilishi.Majimbo ya ubunge wa muungano toka Zanzibar, that is 50 hayajaathiriwa na kufutwa huko coz yanasimamiwa na tume ya Muungano yaani NEC.
 
Lizaboni na wenzako, hivi kuwabagua watu kwa makabila yao maana yake nini? mnaeneza sumu mbaya sana katika jamii dhidi ya watu fulani, hii ni dhambi kubwa sana mnafanya. inaelekea kuna siku wachagga watawindwa kama wanyama wauwawe.

Hii ni kweli Kuna kitu kinaendelea huku mitaani. Nawaambia hii mbegu waliopanda watavuna
 
To be fair,Anatropia alijenga chama na Mtatiro hakufanya hivyo.
Nafikiri viongozi wakuu wa UKAWA walikosea kumpeleka Mtatiro sehemu ambako hakutoa jasho.
Majimbo mengi tumeshindwa kwa ajili hiyo.
Mtu aliyejiandaa ndio angefaa kuachiwa ambaye ni yule dada.
Just fair brother hata kama Mtatiro ni better by our standards.
1.Tundu LISSU
2.Freeman Mbowe
3.James Mbatia
4.John Mnyika
5.John Heche
6.Mwita waitara
7.Saeed kubenea
8.Esther Bulaya
9.Halima Mdee
10.Esther Matiko
12.Davidi Silinde
13.Mchungaji Msigwa
14.Joshua Nassari
15.James Millya
16.Maftah- CUF
Figures zingine za chadema sizifahamu na za CUF nyingi pia bado ni mpya siwezi kuzisemea sana, Nime-outline niazozifaham ktk ulimwengu wa siasa za Tz! Japo nimeumia sana kwa Mtatiro kufanyiwa umafia wa kisiasa na mtu ambaye nia yake haikujulikana.

Hii list unaionaje Mdau wangu wa JF?
 
swali la msingi sana jamani, jibuni vzr mtusaidie hata mimi nataka kujua jamani
 
Back
Top Bottom