mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Ninachojua Pemba peke yake ni viti 18. bara viti 10. hapo unapata jumla 28 bado viti vya Unguja ambavyo wamepata viti visiopungua 5......
Wachaga wakabila sana. Watoswe tu
Hivi JF siku hizi wameondosha kitufe cha like?!mbona hakionekani?
Lizaboni na wenzako, hivi kuwabagua watu kwa makabila yao maana yake nini? mnaeneza sumu mbaya sana katika jamii dhidi ya watu fulani, hii ni dhambi kubwa sana mnafanya. inaelekea kuna siku wachagga watawindwa kama wanyama wauwawe.
kitufe cha like kimeondolewa,mbona hakipo?
Habari za ukumbi huu
Wadau nilikuwa naomba mnijuze mwenye kujuwa idadi ya jumla ya Viti vya Ubunge CUF T.bara na Idadi ya jumla ya viti vya Ubunge Chadema T.bara tu hadi sasa tume ilipofikia kutaja matokeo. Pia NCCR Mageuzi wamepata vingapi
Naomba kuwasilisha.
Pamoja na Zenji. Bara wana viti 10. ( Lindi4, Mtwara2, Dar es Salaam 2, Tanga 1 na Tabora 1)
mimi ni mbara wa kusini nyanda za juu naombe kuuliza hivi wachagga wana matatizo gani hapa Tanzania ? kwani naona post nyingi humu kama zinawasema vibaya vile
nataka kujua kwani binafsi hawanitenda kabisa so niwe conscious wasije wakanitenda kama walivyowatenda ninyi
nafanya nao kazi sijaona tatizo lao ila kuna makabila nafanya nao kazi duuuu kibaya Zaidi wengine mie ndo nimewafundisha kazi
nnacho fahamu kuhusu chagga is they are successful wenye elimu na wasio na elimu
Nyonya Nya la ccm lilidondosha fuko la mavi dodoma july 12, Mbowe kaliokota kalileta Mtaa ufipa, Sasa harufu kila sehemu.
Zitto bado kichwa anajua kujenga hoja