Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,725
- 93,964
Mwenyewe siwezi kufake aisee ntajisahau tu😂Mie hii tu😁,habari ya kuumiza kichwa hapana,,,,mbona mtanikamata dk Moja,,,,,,,
Mwenyewe siwezi kufake aisee ntajisahau tu😂Mie hii tu😁,habari ya kuumiza kichwa hapana,,,,mbona mtanikamata dk Moja,,,,,,,
😂Huyu wakuitwa Busu la Kenge anatoa kozi ya jinsi ya kuwa na 🆔 zaidi ya moja kaka.
Ukishindwa kumpata busu, basi nenda kwa adriz de mbusii atakusaidia.
Vizuri sanaSiwezi😁
SimsamehiKama kakuudhi msamehe tu kwa niaba yangu my.
kwa mtu ambae kapanga kukuharibiaMaana ukisema ukomae nao unaharibu siku yako bure
Umesahau na ya makontena 😹Kuna dokta alikua na ID sjui 150 kama sjakosea
Id ya udokta
Id ya udalala
id ya udereva
id ya ualimu
😁😁😁
Sijui yuko wapi yule mwamba. Namwombea popote pale alipo.Hivi adriz mdogo wangu kapotelea wapi jamani? Tangu tupigwe naye ban hajarudi! Zile ban watu wakahisi tuko kundi moja na kina mongolian na wewe😂
Mtafuteni bana kapotea muda mrefu sana!Sijui yuko wapi yule mwamba. Namwombea popote pale alipo.
Sheinz zake!😂Mwacheni mwanetu ndio hobby yake😀
Punguani wewe, punga usiye na sokoYule kijana de nguna ana ID kama 40 , lakini 39 zote hua anafanya uomba omba
Jamaa baada ya kushambuliwa kwa makombora ametokomea kabisa 🤣Angefilisi vipi wakati ana ID ya kusema yeye ni mhaya mjomba wake yupo Dar ni kiongozi mkubwa serikalini.
HakikaWatu huwa hawaamini kwenye id moja mimi huwa wanaforce sana niseme nina ids nyingine wakati sina hata huo muda, hii tu ishanizalishia mengi nikatafute nyingine tena, huo msalaba aisee!
Sure,kwa mtu ambae kapanga kukuharibia
nipe id ya huyo mwanao kama ni wakike niwe mentor wake humu ndani😁Angefilisi vipi wakati ana ID ya kusema yeye ni mhaya mjomba wake yupo Dar ni kiongozi mkubwa serikalini.