ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Kama ni wakike
najitolea kuwa mentor wake Bure without any payments 😁

Ujue yule jamaa usingemuumbua basi angetufilisi wanachama wote wa humu kiasi cha kufanya sito tukose hata bando la kuingilia humu.
Angefilisi vipi wakati ana ID ya kusema yeye ni mhaya mjomba wake yupo Dar ni kiongozi mkubwa serikalini.
 
Back
Top Bottom