Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,845
- 5,077
Ikawaje mkuu π πIla ID za JF ..ππΏ niliwahi kupewa dili ya kusafisha dollar kwa kemikali maalum.. Halafu yule mwana nilikuwa namheshimu sanaππ€£
Fanya kazi, aiseeπ€¦π½ββοΈKwangu vitu hivyo havipatikani sasa π
Umepitia mengi brother πππππ dahh watu wakatiliTrue story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahauππππΏ kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10Kβ
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuruπππ Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! ππΏ
Ndiyo,mwingine anakujia kama mwizi.Wengine ila wanakuja kistaarabu, unamuelewesha tu unapita kushotoπ
Hii inaitw ka unuke
Siku nyingine uwe na huruma mkuu. Kumbuka kutunga message ya kupiga mtu kizinga inahitaji sana creativity.Basi usilie toto zuri
Mbona nilituma ad risit ya malipo ndo mwana akaona aje na utambulisho mwingine anipe kizingaHiyo. Million 7 ulitoa???π€£π€£π€£ Hila jfπ
Ntamfurumisha hatokaa akaamini aisee!Ndiyo,mwingine anakujia kama mwizi.
Watu wamepinda wanatapeli hadi wagangaIla ID za JF πππΏππΏ Niliwahi kutuma nauli na ya kutolea juuπ.. Hakuwahi kuja..ππΏββ imagine mpaka mkongo na energy juu na panadol... Nyoko zakoπ
πππSiku nyingine uwe na huruma mkuu. Kumbuka kutunga message ya kupiga mtu kizinga inahitaji sana creativity.
Hahaha πFanya kazi, aiseeπ€¦π½ββοΈ
Kweli kabisa jamaa alitoa milioni 7, baada ya dakika Tano tukawa tumejazana kwenye pm yake πHiyo. Million 7 ulitoa???π€£π€£π€£ Hila jfπ
Ila watu wa hivi mimi naona wako smart sana, mtu ana Id zaidi ya tatu na hachanganyi mafaili, kila ID ina personality yake π€£π€£Siku moja nikaambiwa Jr.. Unajua mimi ni jeshi la mtu mmoja? Nina ID 15 kwa matumizi tofauti
Pesa ni kitu kingine bwana!
Mtoto halali na helaPesa ni kitu kingine bwana!