ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Dah! Kumbe nachekacheka kwenye Uzi ilihali kuna watu wameumizwa!

Mnisamehe waungwana 🙏

Huyu mpigaji alaaniwe.
Spring is right around the corner!.jpeg
 
Ukija kilevi naye vilevile! Ndiomaana sikuhizi Sieleweki sitaki kabisaa🤣 acha nionekane mkorofi tu, wanaonifahamu wametosha! Ukiwa mpole sana unaombwa mnoo aarrghhh😂😂
Sana,maana mie sieleweki,rangi zote 12 ninazo🤣,,,anaenijia vile naruka nae vile alivyonijia,

Humu kukaa ki masta sana,wanakuharibia.
 
Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!

ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk..❗❗❗

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako❗
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736

View: https://www.facebook.com/share/v/1JwTuKssyD/
 
Back
Top Bottom