Sasa si mtu mmojaHivi huwa wanapataje taarifa?
Ulijiachia mno.. Mimi kuna wakati kuna madogo wa JF walikuwa wanakaa na simu yangu hata masaa mawili
Tulikubaliana utacheka ukifika nyumbani wakati mie nalia sana, umefika?@Seran🤣🤣🤣,ukapokea upako.
Najua unachocheka 🤣🤣🤣Uzi unafurahisha sana huu😆😆
Dah! Kumbe nachekacheka kwenye Uzi ilihali kuna watu wameumizwa!😄😄mi alikuta sina hela za kunipiga ila zake nilikula
Shenz
Eti ooh huwa nina bness ya madini
Nikichek mtu anesema hayo na personality yake 2 different things
Ukija kilevi naye vilevile! Ndiomaana sikuhizi Sieleweki sitaki kabisaa🤣 acha nionekane mkorofi tu, wanaonifahamu wametosha! Ukiwa mpole sana unaombwa mnoo aarrghhh😂😂Hahahahah,ogopa matapeli,
Jf ni kichaka,mtu kakuona ostadhat anakujia ki ostadh😁
Mambo ya Tresor Mandala , hataki shida.Anastahili minyotaView attachment 3667936
Ht mimi yalinikuta ila watu 🙌Unajua nilikuwa real sana at first! Baadae ndio nikaanza kwenda na upepo wa humu🤦🏽♀️
Tulia babu🤓😆😆😆😆Binti sayuni noma sana!
Pawa Mabula au Pawa Iranda?Huyu shem wangu secretarybird siku hizi anajiita pawa.
Hebu tupe kisa kidogo jamani😆Ht mimi yalinikuta ila watu 🙌
Kwanini afe 😆Kwanza anakufaje?
Mtu anakujia na In'shaAllah In'shaAllah kibao😁😁Ostadh Namusoma😂
swadaktaAnastahili minyotaView attachment 3667936
Da ganna anataka muwe wazi sana msingidani😆😆😆😆maniner dah!!Najua unachocheka 🤣🤣🤣
Kuna zile za dini pia huwa wanawahi kama za mbogax2 tu, sijui mtu anajuajeSasa si mtu mmoja