ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Kuna ule mwaka nikakopeshwa kwa nguvu 2M kwa riba ya laki 6 kea mwezi. . na nililipa!

Hivi mnajua kupatwa kwa mganga nyie maumivu yake kweli!?๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ˜‚ kisa pussy mbofumbofu mganga akapigwa na kitu kizito sana๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Ungemloga ๐Ÿ˜‚
 
We acha tu, na ukiwa mgeni wanakudaka chap kwa haraka, wachungaji na waganga wa jf ๐Ÿ˜†
....na waganga wa jf..๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚
d9875a29-5fe4-42d2-bd13-8efce21f17fe.jpeg
 
Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿฟโ—

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!

ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚
ID za uzinzi nknk..โ—โ—โ—

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?๐Ÿ˜‚

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wakoโ—
ID ZENYU TUNAZIJUA...๐Ÿ˜‚View attachment 3667736
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom